TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

Tanzania eneo lote hili bado tunapata msaada wa Chakula kutoka nje wakati hatuna vita wala kitu chochote kinachoweza kufanya tukahitaji msaada Nchi ina tofauti gani na wale omba omba wa mtaani...
 
Bado dawa za HIV
Yaani kazi kweli kweli mkuu, viongozi wetu ni ndumilakuwili wenye sumu kali. Bashe anajua kila kitu na anaamua kutuingiza mkenge mchana kweupe kabisa, yaani ukishakuwa kiongozi unawaona wananchi kama mambuzi tu.
 
Huu mradi toka nisikie watawapa kipaumbele wanafunzi waliomalia SUA ili wakapate mafunzo sina imani nao hata kidogo, kama mwanafunzi wa chuo vha kilimo hana mafunzo sisi wakulima wa kushika panga itakuaje
Mradi ulishafeli siku nyingi tu, tulio ground tuliliona hili tangu mwanzo. Wizara ya kilimo ina wataalamu waliobobea kweli kweli, lakini nchi inaongozwa na wanasiasa uchwara kabisa. Viongozi wangekuwa na uzalendo ule mkakati wa kilimo kwanza ungeweza kuleta matokeo chanya, mwisho wake kila mtu ni mlaji wa kupitiliza, powertiller inaletwa kwa mara 2 ya bei yake halali.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Watanzania kila mara ni ubishi tu. Mbona sukari iliyooingizwa hivi karibuni hamkuuliza kama inafaa kwa matumizi ya binadamu na kama ilithibishwa na TBS.
Sukari ilikua imeongezwa virutubisho? Je sukari ilikua ya msaada? Tofautisha msaada na kitu unachoenda kununua kwa pesa yako.
 
Mradi ulishafeli siku nyingi tu, tulio ground tuliliona hili tangu mwanzo. Wizara ya kilimo ina wataalamu waliobobea kweli kweli, lakini nchi inaongozwa na wanasiasa uchwara kabisa. Viongozi wangekuwa na uzalendo ule mkakati wa kilimo kwanza ungeweza kuleta matokeo chanya, mwisho wake kila mtu ni mlaji wa kupitiliza, powertiller inaletwa kwa mara 2 ya bei yake halali.
Tanzania hii
 
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji

TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara

Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.

Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

View attachment 2937867
Mchele ni chakula, na ubora wa chakula haupimwi na wizara ya kilimo, hivyo Bashe inamlazimu aheshimu taratibu za majukumu ya kikazi.
 
Tatizo kubwa ni Elimu Tu.

Na ulimbukeni, eti hatuhitaji huo msaada, yaani watanzania tunahitaji kuelimishwa maana ata ukisoma michango ya watu kweli inasikitisha.

kabla ya kujibu emm tembelea shule za kata za msingi. jaribu kuuliza kuhusu chakula uone majibu utakayopewa. Yaani mtoto wa maskini kuletewa wali matajiri wanamdanganya asiule eti kisa haujalimwa nchini.

Fungeni midomo nyie nyote msio na midomo ya kusema asante, kama wewe unacho basi usimsemee ambae hana. Kilicho wajaa ni udini, ubinafsi na umbea.

Hao hao walitoa zaidi ya billion 200 wakaelezea kua serikali ichague vijana itumie hiyo b.200 kama mtaji waweze kujijenga kwenye kilimo matokeo yake yamekuaje?
 
Sukari ilikua imeongezwa virutubisho? Je sukari ilikua ya msaada? Tofautisha msaada na kitu unachoenda kununua kwa pesa yako.
Mnaolalamika hebu someni kwenye mifuko ya sembe mnayonunua madukani, ipo baadhi imeandikwa kuwa sembe iliyomo ndani ya mfuko imeongezwa virutubisho, je, mnavijua virutubisho gani hivyo? Mmewahi kuhoji?
Mimi mwaka juzi niliwahi kuandika humu kuhusu mcheke kupakwa mafuta ya upako, mafuta haya yanaharufu kali ambayo huchukua muda mrefu kuisha kwenye chombo ulichouweka, hakuna aliyejali! Karibu nafaka zote zikiwemo njugu mawe zinazopakwa mafuta ya taa! Na mafuta mengine tusiyoyajua wala TBS hawasemi au hawachukui hatua.
 
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji

TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara

Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.

Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

View attachment 2937867
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..

Tunaweza kujitosheleza kwa vyakula wenyewe bila kusaidiwa ardhi ipo Tena vargin kabisa tuache unyonge..

Ni ushenzi na upuuzi mkubwa (Insanity) kusaidiwa vyakula Kama taifa laiti angekuwepo hayati JPM angewakatalia hao mabeberu...

Mbona issue ya chanjo za covid 19 ilimekuja ku be proven a SCAM

Kuna mengi yamesemwa na yamefanyiwa tafiti mabeberu Wana project zao kuhusu mazao kwa mfano mbegu zao za mahindi au mpunga wanazo tuletea ukipanda ukavuna usitegemee zile mbegu uzitumie Kama mbegu utapata mavuno hafifu Reference HOTUBA YA GWAJIMA SIKU YA NANE NANE (8/8/2023) unaweza kuitafuta MAANA alichimba deep

NB.
SISI SIO WA KUSAIDIWA VYAKULA PERIOD !!!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Wewe ndugu yangu usije taka kula mchele tyu huku usijue baada ya kushiba utalipa nini?[emoji23][emoji1787]

Oy Rafiki sisi tule ugali tu bwana tukipata sawa
Kwani walisema tena kuna kulipa ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo km kunakulipa hawatupati
 
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..

Tunaweza kujitosheleza kwa vyakula wenyewe bila kusaidiwa ardhi ipo Tena vargin kabisa tuache unyonge..

Ni ushenzi na upuuzi mkubwa (Insanity) kusaidiwa vyakula Kama taifa laiti angekuwepo hayati JPM angewakatalia hao mabeberu...

Mbona issue ya chanjo za covid 19 ilimekuja ku be proven a SCAM

Kuna mengi yamesemwa na yamefanyiwa tafiti mabeberu Wana project zao kuhusu mazao kwa mfano mbegu zao za mahindi au mpunga wanazo tuletea ukipanda ukavuna usitegemee zile mbegu uzitumie Kama mbegu utapata mavuno hafifu Reference HOTUBA YA GWAJIMA SIKU YA NANE NANE (8/8/2023) unaweza kuitafuta MAANA alichimba deep

NB.
SISI SIO WA KUSAIDIWA VYAKULA PERIOD !!!! [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Umesema sio nchi ya kusaidiwa kwa vigezo gani? Nchi imeweza kulisha wanafunzi mashuleni? Maana msaada ulikua kwaajili ya kupeleka mchele mashuleni. Sasa sisi serikali inalisha shule za kata?

Eti Mabeberu,? ushabiki wa kishabiki wa kujionyesha kama unaelewa unayoyaongea. Mbona walipoleta mradi wa bbt wakatoa billions zaidi ya 200 ili vijana wafundishwe kilimo bora waweze kuzalisha mazao mengi hamkuwaita mabeberu?
 
Tuchekeche mbongo zetu kidogo
Ni Bora izo billion zaidi ya 200 MAANA zilitumika ku empower watu wetu in agriculture skills sio kupewa misaada ya chakula
(kupewa chakula Ni kututukana Tena matusi ya viungo vya uzazi wa wamama zetu)

Ni sawa sawa na Mimi nije kuilisha familia yako mkuu mwisho wa siku ntakugongea mkeo..

""THERE'S NO FREE LUNCH IN AMERICA""

Tuna ardhi nzuri tuna Man power tuna everything sisi sio wa kusaidiwa Michele, mafuta ya alizeti BIG NO

Sisi sio maskini wa kushindwa kujilisha na kulisha watoto wetu kwenye hili sikubaliani na huu msaada

WE MUST BRAIN OUR EYE'S🧠🧠
 
Hiki chakula ni Tani ngapi na kitaliwa Kwa muda gani ili hivyo virutubisho viweze kufanya kazi vzr Kwa walengwa??
 
Wamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?
Hakuna cha asali wala nini. Wamepigwa mkwara tu, imetosha. Isitoshe TBS ni mavuvuzela fulani wasio na lolote kichwani.
 
Back
Top Bottom