Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Yaani kazi kweli kweli mkuu, viongozi wetu ni ndumilakuwili wenye sumu kali. Bashe anajua kila kitu na anaamua kutuingiza mkenge mchana kweupe kabisa, yaani ukishakuwa kiongozi unawaona wananchi kama mambuzi tu.Bado dawa za HIV
Mradi ulishafeli siku nyingi tu, tulio ground tuliliona hili tangu mwanzo. Wizara ya kilimo ina wataalamu waliobobea kweli kweli, lakini nchi inaongozwa na wanasiasa uchwara kabisa. Viongozi wangekuwa na uzalendo ule mkakati wa kilimo kwanza ungeweza kuleta matokeo chanya, mwisho wake kila mtu ni mlaji wa kupitiliza, powertiller inaletwa kwa mara 2 ya bei yake halali.Huu mradi toka nisikie watawapa kipaumbele wanafunzi waliomalia SUA ili wakapate mafunzo sina imani nao hata kidogo, kama mwanafunzi wa chuo vha kilimo hana mafunzo sisi wakulima wa kushika panga itakuaje
Sukari ilikua imeongezwa virutubisho? Je sukari ilikua ya msaada? Tofautisha msaada na kitu unachoenda kununua kwa pesa yako.Watanzania kila mara ni ubishi tu. Mbona sukari iliyooingizwa hivi karibuni hamkuuliza kama inafaa kwa matumizi ya binadamu na kama ilithibishwa na TBS.
Tanzania hiiMradi ulishafeli siku nyingi tu, tulio ground tuliliona hili tangu mwanzo. Wizara ya kilimo ina wataalamu waliobobea kweli kweli, lakini nchi inaongozwa na wanasiasa uchwara kabisa. Viongozi wangekuwa na uzalendo ule mkakati wa kilimo kwanza ungeweza kuleta matokeo chanya, mwisho wake kila mtu ni mlaji wa kupitiliza, powertiller inaletwa kwa mara 2 ya bei yake halali.
Mchele ni chakula, na ubora wa chakula haupimwi na wizara ya kilimo, hivyo Bashe inamlazimu aheshimu taratibu za majukumu ya kikazi.Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji
TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara
Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.
Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele
View attachment 2937867
Mnaolalamika hebu someni kwenye mifuko ya sembe mnayonunua madukani, ipo baadhi imeandikwa kuwa sembe iliyomo ndani ya mfuko imeongezwa virutubisho, je, mnavijua virutubisho gani hivyo? Mmewahi kuhoji?Sukari ilikua imeongezwa virutubisho? Je sukari ilikua ya msaada? Tofautisha msaada na kitu unachoenda kununua kwa pesa yako.
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji
TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara
Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.
Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele
View attachment 2937867
Mambo ya aibu haya. Kupewa msaada wa maharage toka Marekani ni matusi kwetu kama nchi. Walio idhinisha huu msaada wawajibike au kuwajibishwa, period.
Kwani walisema tena kuna kulipa ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo km kunakulipa hawatupatiWewe ndugu yangu usije taka kula mchele tyu huku usijue baada ya kushiba utalipa nini?[emoji23][emoji1787]
Oy Rafiki sisi tule ugali tu bwana tukipata sawa
Ndio tatizo la Africa mwanasiasa anaaminika zaidi kuliko wataalam!!Wamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..
Tunaweza kujitosheleza kwa vyakula wenyewe bila kusaidiwa ardhi ipo Tena vargin kabisa tuache unyonge..
Ni ushenzi na upuuzi mkubwa (Insanity) kusaidiwa vyakula Kama taifa laiti angekuwepo hayati JPM angewakatalia hao mabeberu...
Mbona issue ya chanjo za covid 19 ilimekuja ku be proven a SCAM
Kuna mengi yamesemwa na yamefanyiwa tafiti mabeberu Wana project zao kuhusu mazao kwa mfano mbegu zao za mahindi au mpunga wanazo tuletea ukipanda ukavuna usitegemee zile mbegu uzitumie Kama mbegu utapata mavuno hafifu Reference HOTUBA YA GWAJIMA SIKU YA NANE NANE (8/8/2023) unaweza kuitafuta MAANA alichimba deep
NB.
SISI SIO WA KUSAIDIWA VYAKULA PERIOD !!!! [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hakuna chandarua cha mbu kinachoagizwa kutoka marekani, marekani ndiyo wanaoagiza hapa kwetu na kuzisaidia nchi nyingine.
Tuchekeche mbongo zetu kidogoUmesema sio nchi ya kusaidiwa kwa vigezo gani? Nchi imeweza kulisha wanafunzi mashuleni? Maana msaada ulikua kwaajili ya kupeleka mchele mashuleni. Sasa sisi serikali inalisha shule za kata?
Eti Mabeberu,? ushabiki wa kishabiki wa kujionyesha kama unaelewa unayoyaongea. Mbona walipoleta mradi wa bbt wakatoa billions zaidi ya 200 ili vijana wafundishwe kilimo bora waweze kuzalisha mazao mengi hamkuwaita mabeberu?
Hakuna cha asali wala nini. Wamepigwa mkwara tu, imetosha. Isitoshe TBS ni mavuvuzela fulani wasio na lolote kichwani.Wamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?