wewe unatumia mchele wenye virutubisho wakuchanganyie na broiler chicks mimi sili wala sitaki wanangu waguse, sijawahi choma chanjo yoyote nikiwa na akili timamu kuanzia za mabusha na Hepatitisi B, wala korona namkumbuka magufuli namshukuru sana, chanjo ni biashara za wabinafsi wa dunia hii. chakula chenye virutubisho havifai hata kwa wanyama wa kufugwa umeuza wapi akili zako.Ila ARV, chanjo, na madawa mengine je? Hivi nyie mko timamu?
Kwa hiyo hatuoni fedheha kusaidiwa kujengewa mashimo ya vyoo, na tunajivunia kusaidiwa mipira ya kujamiiana (Condoms)?Hizo Misaada hapo hatuna ila msosi tunao.
Angekuwa Magufuli angeshamtimua huyo Mkuu wa TBS.
Wewe unatumia mchele gani?wewe unatumia mchele wenye virutubisho wakuchanganyie na broiler chicks mimi sili wala sitaki wanangu waguse, sijawahi choma chanjo yoyote nikiwa na akili timamu kuanzia za mabusha na Hepatitisi B, wala korona namkumbuka magufuli namshukuru sana, chanjo ni biashara za wabinafsi wa dunia hii. chakula chenye virutubisho havifai hata kwa wanyama wa kufugwa umeuza wapi akili zako.
Elewa mchele na maharage vimeongezwa virutubisho kwa ajili ya kula, hatuzungumzii mbegu hapa, ni lini mchele wa kyela na maharage ya sumbawanga yaliongezwa virutubisho huko huko USA watu wanatamani kula vitu organic wenye nazo wanakula vitu organic, sisi tz hakuna hata sababu moja yakushindwa kula vitu organic viongozi wetu na abiria wao kama wewe mnatufedhehesha watanzania.Wewe unatumia mchele gani?
Kama ni mchele huu wa Morogoro, Mbeya, Kahama, Manyara hapo utakuwa hujakwepa kitu.
Mbegu zote za hiyo michele zimeboreshwa kimaabara (zimeturubishwa na hao hao wazungu), mbolea iliyotumika ni mbolea ya kizungu, na utiriri wa madawa umetumika kuzikuza shambani.
Yaani Bashe kasema wangenunua hapa hapa ili kuleta fedha ndani ya nchi kwa sababu tuna mchele mwingi lakini wao naona wanataka kutuletea walakiniWamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?
Bashe ni, mwanasiasa, anatwfuta kiki tu, TBS ni technocrats, wanaenda kwa sayansi sio kiki za kisengerema,Wamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?
Wawape hela ili mgawane mchele upelekwe gunia 10 na camera kama 100 hivi😂Tanzania hatuna mchele mpaka tuletewe msaada kutoka marekani? Kwanini wasitowe fedha tununue kwa wakulima wetu hapa hapa nchini?