Mbaya sana hii kituNilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.
Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Afu kwanini ukinywa lazima uwaze kwenda kufanya ngono.Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.
Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.
Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji134][emoji134][emoji134]Afu kwanini ukinywa lazima uwaze kwenda kufanya ngono.
Sijui ina nini....japo ni nzuri na inachangamsha sana
Yeah...chunguza.[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Yeah...chunguza.
Huwa zinaleta ashki sana.
Me binafsi naipenda.