TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Nadhani TBS hawafanyi kazi vizuri! Vinywaji Vikali vingi ni Feki! Sabuni za kuogea nyingi ni feki, mfano ni sabuni ya deto na nyinginezo, dawa za miswaki ndio kabisaa ubora ni sifuri!
TBS piteni kwenye hayo masuper market chukueni sample mjionee watu wanavyokula sumu! Cancers nyingi Tanzania zinazalishwa na hizi bidhaa!
 
Yes kuna dettol hazina ile smell kbs ya dettol
 
Mnakunywa Vant wapi tandika au buza? jitahidi kununua katika bar au duka linaloeleweka, hio kitu haina shida yyte, mi nagonga nzima na ninaamka fresh kbs, acheni kuharibu brand za watu.
Hapana mkuu! Hatunywi za vibanda umiza...yaan k vant ukiamka asbh haina hangover ndo nachoipendea lakini inadelete kbs kumbukumbu! Yaan inafuta kbs !
 
Mnaisingizia labda ni kwa mtu mmoja mmoja..

Kiapindi namalizia elimu yangu nilikuw siwez kusoma kipindi cha pepa za chuo bila VANT na nilikuw nafumua vzr tu.. sas sijui hili tatzo

(mie sio mnywaji wa mara kwa mara nawez maliza mwez sijagusa kilevi cha aina yeyote)
Duu mwana umemaliza kabisa elimu
 
Kwamba unasahau yaliyotokea jana?? Nilirud kwenye konyagi baada ya kuwa nikinywa kidg inanipelekesha bora konyagi kwa upande wangu.
Mm nyagi sitaweza inywa kali mno! Mm hua nasahau hata nimefikaje hom🤭..nasahau hata njia niliyopita..sasa naonaga aibu kuuliza wanangu..wakianza ongea ndo natega sikio kuwa tulipita njia fulan..arghh nimeiacha mazima! Nimejikabidhisha kwa desperado tu
 
Back
Top Bottom