TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Hii k-vant nimeiacha kabisa niliinywa nikamgonga demu wangu, mda mrefu. Ananichukia hadi leo kosa wazungu walichelewa kutoka ikabidi nimsigine kwa mda. Alinilaumu eti nilimeza dawa za kuzuia ejaculation ili nimkomoe. Hii kweli ichunguzwe watakuwa wanaweka kitu siyo bure.
 
Kweli serikali inatakiwa iingilie kati. Kiuhalisia hizi pombe kali za hapa kwetu sio kabisa. Yaani sio ambacho wanywaji wanaaminishwa ndicho. Nyingi ni sumu.

Imagine pombe kama Diamond, Kitoko, HighLife and the likes. Hizo ni gongo tu kama gongo.

Hizo Konyagi na Kvant nazo zinachakchuliwa sana. Juzi Arusha kuna mama amekamatwa na mtambo na vifaa vya kutengenezea Konyagi kwenye chumba.
 
hahaha afu ni mpenzi w hiyo kitu..ajabu nashangaa inashaulisha hadi kichwa chini kinakosa ushirikiano na cha juu!ukinywa zaid y vichupa 3 unaona kbs kichwa cha chini na juu havina ushirikiano

Fafanua tafadhari
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
mkuu ni kweliii mwanzo nilikuwa na kubali sana k-vant ila kiukwelii nimekuwa muhanga sana napoteza kumbuku kumbu mpaka najishangaaa... na sio kawaida yangu hata kidogo japo naipenda sana K-VANT ila nimekuja kushtuka mwaka huu baada ya kuwa mpenzi sana.

nahisi kuna kitu kwenye k-vant maana sio kawaida hata kidogo
 
Back
Top Bottom