TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Hahahahhahahahahahahahahaa jamani uwiii 🤣🤣🤣🤣! Ndo maana tunadharaurika 🤣🤣🤣🤣🤣! Kwann ukiona signal zinakata usianze kunywa maji? Mm nikiona nalewa naacha naanza kunywa maji kwa pupa .30min mzimaa! Dah aisee..ukapoop
Hahah hii kitu ukinywa unashiba kwanza so unakua hujui kama umezidisha au la
 
Adjustments.jpg
 
Unajua maana ya feki!!!?
ama unaongea ongea tu!!!?
feki ni kitu ambacho hakijatengenezwa na muhusika halisi...
sema kv ni below standard tutakuelewa
Sijaongea ongea, Bali nimeandika!
Uelewa wa lugha ya English kwako pia ninashaka nao pia! Ni ngumu kwa mtu fake kuelewa genuine ni nini!
 
Mimi nilikua naomba iwekwe sukari kidogo
😂😂😂 Umenikumbusha kuna video flan mdada kama anakimbia huku anasema 'serikali iangalie k-vant itawaua hvy anaomba iwekewe sukari kdg' 😂😂
 
Tukiachana na ubora wa kutatanisha;

Tatizo lingine bongo wanakunywa chochote ili walewe sio kwamba wanataka refreshment.
Pombe zina tofauti mtu anakunywa Spirit kama anavyokunywa beer au wine [emoji2], mwingine ye hajali hali ya hewa anakunywa tu iwe Beer/Wine/Vodka/Gin/whiskey/Tequila /Spirit twende tu.
Ndipo yanapomkuta ya kupoteza kumbukumbu nk
 
Hahah unywaji pombe ni hatari kwa afya yako, kunywa kistaarabu, hairusiwi kutumiwa na watu wenye umri chini ya miaka 18. Sasa TBS wanini tena kama mtengenezaji anakwambia haya!
Ila wamesema: "haiuzwi" (not for sale) kwa wenye umri <18; wanakunywa bure.
 
Ndo maana juz nlikua naongea na jamaa ananiangalia kama sanamu uskute kashanisahau
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Duuh last wik nilipiga hii kitu,badala ya kurudi nyumbani,asubuhi nilijikuta nimelala ofisini na sijui nilifikaje fikaje...mlinzi akaniambia nimekuja fresh na pikipik nikapaki nikafungua mlango mwenyewe nikamuambia eti kuna kazi naimalizia inatakiwa kesho yake jmosi asubuhi saa 2😅
 
Back
Top Bottom