Mr Miyagi
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 935
- 1,665
Mm k vant sisikiag kitu..only st anna
Mchumba kama mchumba,hatari sana we mrembo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm k vant sisikiag kitu..only st anna
🤸♂️🤸♂️🤸♂️ nioe bwana nisitirike...! Nile hela za mumeMchumba kama mchumba,hatari sana we mrembo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji2223][emoji2223][emoji2223] nioe bwana nisitirike...! Nile hela za mume
Mara ya mwisho kutumia ni ile siku Naamka Asubuhi Nashika simu WhatsApp yangu naikuta namba ngeni nyingiii nimetumiwa CVs[emoji2] Sikumbuki niliwaambia nini pale Bar!
Naongea kwa uzoefu mkuu, enz zetu pombe nyingi tu zingeweza kukufanya ujinyee, nitawaletea kisa changu jinsi nilivyojinyea kwenye ndege Frankfurt baada ya kunywa gambe flan afrika magharibi ambalo ukinywa unashiba baada ya masaa saba linajichuja ndio unaanza kulewa baada unazungumza kiingereza kizuri masaa matatu baada hapo ni kulia masaa mawili baada ya hapo ni kujinyea mfululizo na kuzimia siku nzima .Mkuu achaa uwongo.....dengelua haiko hivyo hiyo unayoisema inaitwa pingu....achaa kutuleteaa story za kupigiwaa hapa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mzee itakua uliahidi kazi
Hahahahaha daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]Kuna rafiki yangu alikunywa k-vant ile siku ya Eid akiwa na manzi yake.Usiku wakaelekea home kufika geti limefungwa.Ili kuepusha usumbufu wa kugongea watu wamelala ikabidi uruke geti.
Cha ajabu baada ya kuruka geti ili amfungulia manzi yake yeye mojamoja kapitiliza ndani na kuuchapa usingizi huku demu yupo nje anampigia simu jamaa bila kupokelewa.
Naongea kwa uzoefu mkuu, enz zetu pombe nyingi tu zingeweza kukufanya ujinyee, nitawaletea kisa changu jinsi nilivyojinyea kwenye ndege Frankfurt baada ya kunywa gambe flan afrika magharibi ambalo ukinywa unashiba baada ya masaa saba linajichuja ndio unaanza kulewa baada unazungumza kiingereza kizuri masaa matatu baada hapo ni kulia masaa mawili baada ya hapo ni kujinyea mfululizo na kuzimia siku nzima .
Binafsi Sina ujasiri wa kunywa pombe mbele ya ndugu zanguHa haha chizi wewe umenichekesha hapo mwisho. Hebu lewa na mama mkwe siku moja uje kutusimulia, si anakunywa?
Hivi kweli na utu uzima huu nimfiche mtu kuwa sinywi pombe??? No way kwa kweli.
Ila nakuelewa sana..km wazazi wapo hivyo huna budi kujificha usije ukawasononesha.
Duh..konyagi kabla ya kuswaki...ni nomaa
Mwenzenu sijui nina balaa!!!! Katika maisha yangu SIJAWAHI KUPEWA PESA NA MWANAUME[emoji39][emoji39][emoji39]..alafu sijakuona siku ming sana almost 3yrs..hakuna raha kama upewe hela na mwanaume jamani..nasema hakuna raha kama hiyo..tunajihisi kuwa safe balaa[emoji3][emoji3]! Mm leo wala kesho sitak hizo kwanza...! Nataka had june nijiipue kunguza jotoridi[emoji3]!
Hapa duniani unaweza jiona una mikosi ..! Kuna dada anapewa na mumewe 500k monthly! Amenunuliwa gari na anajaziwa petrol !lakini analalamika mumewe hampendi hamcare!Mwenzenu sijui nina balaa!!!! Katika maisha yangu SIJAWAHI KUPEWA PESA NA MWANAUME
😀😀😀 Acha kujificha be freeBinafsi Sina ujasiri wa kunywa pombe mbele ya ndugu zangu
Aisee naonekana Sana paroko ,pasta muinjilisti kumbe nyuma ya pazia Ni Mafia Ile mbaya [emoji1]bia nazikata na kula kimasihara Kama kawa
Bi mkubwa anajua nakunywa Ila mzee hajui
Bi mkubwa aliwahi niuliza hivi wewe unakunywa bia nikamwambia ndio Ila sio Sana coz mdau kivile mbili tu zinatosha
Sasa na wewe unakunywaje chupa zaidi ya tatu??.hahaha afu ni mpenzi w hiyo kitu..ajabu nashangaa inashaulisha hadi kichwa chini kinakosa ushirikiano na cha juu!ukinywa zaid y vichupa 3 unaona kbs kichwa cha chini na juu havina ushirikiano
za madukani unajua zinakaa sana hazikimbii kama za bar ndo maana shida inakuwepo maana kadiri mvinyo unavyokaa muda ndivyo unazidi kuwa mkaliila kuna jamaa mmoja alinieelekeza jinsi ya kuangalia fake na OG sisi ukinunua kwake tunakunywa fresh bila shida ila tukienda huko madukani lazima shida itokeee... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣