TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Haya sasa tumepata jibu
Screenshot_20210528-095712.jpg
 
Bora mkuu ukapanda bajaj, nilibonda mzinga wa kufa mtu na gari baada ya kula Grants sana nikajikuta ICU 2010.na polisi wakaandikisha tumekufa.
Dokta yule kabla hatujapelekwa mochwari katupima akasema hajafa ndio nikawekwa drip kadhaa nikafufuka baada ya siku mbili.
Mpk leo sina hamu mi kupanda Bajaj tu gari sina haja nalo [emoji119] .
Pole mkuu. Mimi kichekesho ni kwamba hiyo siku hata bajaji yenyewe nilikuwa nang'ang'ana niendeshe mwenyewe nikijua nipo mwenye gari langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
K VANT ni KIFUTIO
 
Sahivi wamewaletea mapigo mengine kuna- Ambiance, Shimha, Kitoko sijui na takataka gani.. mi nakunywa Konyagi tu hizo zingine nshapiga chini
hizoo hazi faiii sitaki hata kuzisikia maana naona kama gongo vile tu.. mi k vant ila saizi nimerudi kwenye konyagii kwa mda kwanza
 
Pole mkuu. Mimi kichekesho ni kwamba hiyo siku hata bajaji yenyewe nilikuwa nang'ang'ana niendeshe mwenyewe nikijua nipo mwenye gari langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 mambo ya bwii ni kuyaskia tu mkuu,Mi siku hiyo hata nikiulizwa huwa sikumbuki ilikuwaje.
Gari tulilipata kwa mbinde sana wiki 2 kutoka hospitali polisi walikua wanaliuza tayari nikiulizwa na ndugu gari liko wapi? namimi nawauliza gari hivi liko wapi?😂😂😂
Nilipasuka kichwa sina hata kumbukumbu
 
k vant nikiinywa tuu lazima nilie,alafu kila muda nalalamika tuu.

uzuri wake:nikishalewa napeleka Moto si mchezo na sikojoi.

hasara yake:nikiwa naongea maneno yanakuja bila mpangilio.

ONYO:usije kuchanganya k vant na shimha,utaona unaongea na malaika mtoa roho live
 
🤣🤣🤣 ila kuna watu mnalewa aisee..dah..shimha ni kifo kile..mm sigusi kbs
 
k vant nikiinywa tuu lazima nilie,alafu kila muda nalalamika tuu.

uzuri wake:nikishalewa napeleka Moto si mchezo na sikojoi.

hasara yake:nikiwa naongea maneno yanakuja bila mpangilio.

ONYO:usije kuchanganya k vant na shimha,utaona unaongea na malaika mtoa roho live
hahahaahahhahahhahaha
 
Dengerua ulikua ukinywa unafungwa mpira kwa miguu ya suruali ili ukae na mavi yako , sasa wewe kupoteza tu fahamu unaanza kuzisumbua mamlaka za serikali
Mkuu achaa uwongo.....dengelua haiko hivyo hiyo unayoisema inaitwa pingu....achaa kutuleteaa story za kupigiwaa hapa
 
Back
Top Bottom