KIROBA ORIGINAL...
Kwa mara ya kwanza ilikuwa 2012 pale Nyegezi bus terminal,nilikunywa hiyo kiroba original, kipindi hicho illikuwa inauzwa pakti 300, nilikunywa pombe ya shilingi 2700...nikapanda daladala za Igoma badala ya Airport/Ilemela...alafu mbaya zaidi ile pombe ulikuwa ukinywa hulewi hapo hapo ,mziki ni baadae , nilikuja kushtuka konda anasema "Kigereshi" kumbe nilikuwa nimezima, udenda kama wote kwenye shati....
Sasa hao KIROBA ORIGINAL ndio haohao brand ya K-VANT
K-VANT haikopeshi kama una kichwa panzi..