hutumiii kilevi ndo maana tuna pishana .. kawaida ukilewa unaweza ondoka safii mapaka home ila asubuhiii unakuwa umesahau ulifikaje ndo maana mtu akisema hajuii alifikaje sio kwamba ndo kalewa kupindukia, ndo maana watu wameweka maoni yaoo kwenye K-VANT kuwa inashida kidogo na siku hiyoo sio miimi tu hata jamaa walivyo ondoka waliagana vizuriii ila kesho yake tumekutana kila mtu hakumbuki kasoro mmoja tu.
na sio kwana sijielewii hapana nafika home nakula vizurii naweka mazingira safe ila niki laza kichwa nikiamkaaa asubuhiii na kuwa nimesahau vitu baadhiii au vyote kabisa na hiii imeanza mwaka huu tu kipindi cha nyuma kulikuwa hamna shida, nikahisiii tatizo ni mimi tu kumbe kuna wengine wengi inawatokea wakiwa wana kunywa K-VANT