TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

nilikuwanywa chako ni chako na washakajii sijuii hata niliwaachaje kizurii bili ilikuwa imelipwa kasoro bia nimejikuta home nimelala na sijuii mlango nilifungaje K-VANT balaa
 
Me nikinywaga K-vant najitahidi sana nisishike simu yangu. Huwa najikuta nimecomment vitu vya ajabu sana kwenye magroup. Pia na outgoing call ambazo sijui niliongea nini na muhusika. Duh!
saingine unakuta unamtumia mti msg za kumpaka kisha ukija kukumbuka unasema yule me alinfanya nini mpk nim2mie msg zile
 
Sio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?[emoji2960][emoji2960]..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tena
Kuna rafiki yangu alikunywa k-vant ile siku ya Eid akiwa na manzi yake.Usiku wakaelekea home kufika geti limefungwa.Ili kuepusha usumbufu wa kugongea watu wamelala ikabidi aruke geti.

Cha ajabu baada ya kuruka geti ili amfungulie manzi yake yeye mojamoja kapitiliza ndani na kuuchapa usingizi huku demu yupo nje anampigia simu jamaa bila kupokelewa.
 
Pigeni vyombo hasa kvant,hata Mimi tajiri naipenda sana kvant. Cc Wangari Maathai hii ni home saivi.

IMG_20210527_152130_2.jpg
 
mnakunywa burudani au mnakunywa kumaliza jameni
 
hapa wanywaji na walevi wanafarijiana......kunywa kupita kiasi ni danger....zingatia hili...
 
K vant Ni kinywaji bora kwangu stimu zake zinapanda haraka kuliko valuer...ingawa valuer ina alcohol 40% haioni ndani kwa K vant yenye 35%!
Nikipata K vant na tonic water/crest soda/soda water napiga taratibu mzinga naumaliza siku inakuwa poa! Kikubwa upate chakula cha kutosha! Ila Kama hujala na kichwa chako memory ni MB 128 itakufutia kila kitu
 
Kuna rafiki yangu alikunywa k-vant ile siku ya Eid akiwa na manzi yake.Usiku wakaelekea home kufika geti limefungwa.Ili kuepusha usumbufu wa kugongea watu wamelala ikabidi uruke geti.

Cha ajabu baada ya kuruka geti ili amfungulia manzi yake yeye mojamoja kapitiliza ndani na kuuchapa usingizi huku demu yupo nje anampigia simu jamaa bila kupokelewa.
Hahahaa hii kali ya kufungia mwezi aise hahhahahahaa
 
Hapana sikuwa nae. Tulikuwa group la ndugu Kama 50 hivi😀
Mi mpk leo baba na mama wanaguess tu kama nakunywa .kuna wambea walishawaelza kuwa siku hiz nakunywa( ila waliwahi niuliza nikachomoa ..😃😃)...hahaha ss tulikutana msiba wa babu hahaa mama ananiona muda wote nna chupa ya maji..ila anamwambia mamdg mbona kulwa amechangamka namna hiyo? Mamdg anamjibu anacelebrate maisha ya babu yake....hhahaaa misiba ya wasukuma wanaitaga kwaya esp AIC..Basi nilicheza sebene la Ia AIC utadhan na mm mwanakwaya had saa11 alfjir! Kitu cha kvant hicho..!🙌🙌🙌
 
Piga vyombo Wangari Maathai ukiishiwa unajua namna ya kunipata..
😋😋😋..alafu sijakuona siku ming sana almost 3yrs..hakuna raha kama upewe hela na mwanaume jamani..nasema hakuna raha kama hiyo..tunajihisi kuwa safe balaa😀😀! Mm leo wala kesho sitak hizo kwanza...! Nataka had june nijiipue kunguza jotoridi😀!
 
Mi mpk leo baba na mama wanaguess tu kama nakunywa .kuna wambea walishawaelza kuwa siku hiz nakunywa( ila waliwahi niuliza nikachomoa ..😃😃)...hahaha ss tulikutana msiba wa babu hahaa mama ananiona muda wote nna chupa ya maji..ila anamwambia mamdg mbona kulwa amechangamka namna hiyo? Mamdg anamjibu anacelebrate maisha ya babu yake....hhahaaa misiba ya wasukuma wanaitaga kwaya esp AIC..Basi nilicheza sebene la Ia AIC utadhan na mm mwanakwaya had saa11 alfjir! Kitu cha kvant hicho..!🙌🙌🙌
Duh kumbe wewe msukuma,nmeoa kwenu usukumani..maeneo ya ISAKA.
 
Back
Top Bottom