Mama atafunga na kuomba na kuomboleza hahaaa sema mm muda wote nimechangamka...siku moja nikaenda hom ths yr nikapitia ninywe kidg nikifika nilale tu..! Nikanywa wine chupa 2🤣🤣! Acha zinitende? Nikalewa...uwiii...bas nilikua naongea balaa kumbe najiexpose🤣! Ila nilibisha...nikasema mh hapana sikunywa hata maji!
Mama mkwe sio mnywaji .ni bata wa konyagi...anaamka asbh anagonga konyag kbla ya kuswaki..! Ntaharibu shogaangu..yaan ntaharibu ntamfanya apoteze nguvu za kike!
Kwanza toka asikie niko geita ameninuniaaga.hahaha anamwambia mwanaye huyu akikuzidi hela usije tena kunilalamikia ..🤣🤣! Ananiambia mama( ananiitaga mama) unajua mchicha ukiusimamia vzr unapata 3m kwa mwezi? Hapo anataka nirudi nikose hela waendelee kunichukulia poa
Nikamjibu kama mchicha unapata 3m kwa mwezi mpe hilo dili mwanao walau apate ya mafuta!😏! Ila uzuri alishawah sema anahis mm nna hasira sana! So ananiheshimu kwa mbaliii na mm vile vile tunacheka kinafik!