TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Nilijua ni mimi peke yangu Kumbe ni wadau wengi.
Juzi nilipiga nikarudi hom fresh, nikapiga story na mke mpaka usiku mnene,kuamka asubuhi mke wangu ananiambia twende basi ulikosema jana, nikabaki nashangaa tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilienda bush msibani kukawa hakuna wine wala beer tulizozizoea mjini.
Huko ni safari, balimi na Kvant...nikasema bora ninywe Kvant.
Haikupita masaa mawili nililewa vibaya nikapandishwa kwenye gari kupelekwa home...ile nashuka nikatapika nyama yote niliyoila.
Cha kushangaza aliyenipeleka home hadi leo simkumbuki. Kila nikiwauliza watu nani alinipeleka wanacheka. Nachojua ni ndugu yangu mmoja wa kike
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 noma..hukua na mumeo? Mm ndo sijawah tapika hata nimix aina ngapi no sitapiki kbs..dah nyama zikatoka!dah🤣🤣! I bet ni tabora🙃
 
Me nikinywaga K-vant najitahidi sana nisishike simu yangu. Huwa najikuta nimecomment vitu vya ajabu sana kwenye magroup. Pia na outgoing call ambazo sijui niliongea nini na muhusika. Duh!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Acheni uwongo, hao waliopoteza kumbukumbu wana uwendawazimu tu wa ukoo, mimi huu ni mwaka wa 3 nakunywa K - Vant na sina tatizo lolote. Naamka asubuhi niko freshi kabisa.
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
HIYO IPO ni hivi, kutokana na uzoefu wa matingashi hawa watu itakua wameacha kutengenezea raw materials yao ya kwanza kutoka miwa hadi katani itakua. na wamepoteza customer base ya kutosha watu wamerudi kwenye nyagi yao kama kawa wapambane na gongo
 
Nilijua ni mimi peke yangu Kumbe ni wadau wengi.
Juzi nilipiga nikarudi hom fresh, nikapiga story na mke mpaka usiku mnene,kuamka asubuhi mke wangu ananiambia twende basi ulikosema jana, nikabaki nashangaa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenigusa mim mkuu
 
Hahaha,we uliamua kunipotezea mkuu.ukanifungia na PM ukasahau tumetoka mbali.nilikukosea nini mkuu? 😁
Ww nilikuombaga kazi kipindi fulani hv...nilikua napitia majanga janga tu ukaona nakuzengua😀😀! Sijafunga pm bwana...ww nilishachat na ww pm so yako inakuja moja kwa moja!
Nimekumiss mzee baba!
 
Acheni uwongo, hao waliopoteza kumbukumbu wana uwendawazimu tu wa ukoo, mimi huu ni mwaka wa 3 nakunywa K - Vant na sina tatizo lolote. Naamka asubuhi niko freshi kabisa.

mimi nina miaka 5 tokea nakunywa ila tatizo limeanza mwaka huu so wewe usishabikie endelea kunywa kuna siku utaelewa maana mimi ilikuwa mbishi kama wewe ila imekuja kujione mwenyewe. saizi nimepuzika kidogo nimerudi kwenye nyagii kwa mda kupisha uchunguzi
 
Back
Top Bottom