TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

KUNA RAFIKI YANGU YUPO HUMU. HATA HARUFU YA POMBE HAIJUI ILA ANASOMA KOMENTI ZA WADAU HALAFU ATATENGENEZA USHUHUDA WAKE JINSI K VANT ILIVYOMFANYA..kkkkkk

NITAMUULIZA SWALI DOGO TU K VANT INAUZWA SH.NGAPI HAPO NDIO ATAUMBUKA.
Namsubiri!
 
Mnakunywa Vant wapi tandika au buza? jitahidi kununua katika bar au duka linaloeleweka, hio kitu haina shida yyte, mi nagonga nzima na ninaamka fresh kbs, acheni kuharibu brand za watu.
Hapana mkuu, ukichunguza vizuri utabaini kati ya watu 10 basi 7 wanalalamika tofauti tofauti kulingana kilichotokea kwa muhusika.
 
TBS hii ya bongo au nyingine
Naomba nikae kimya tuu
Walisha chinua pesa yangu for calibration baada ya hapo ......
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.

siku hizi zinatengenezwa nyingi fake mtaani. na wanaziuza kwa bei ya chini kwny wauzaj wa jumla..

kwahiyo fake nyingi sana mtaani
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Kunywa Crown100 vodka hutajutia hela yako.
 
Yaani nitoke Dodoma nije mpaka Moro kwa Kvant tu.
Hebu nitumie kwenye simu hio pesa, afu nitakupigia simu ili ujihakikishie kuwa nimenunua mpwa.
Nimshatuma na ya kutolea🤓🤓🤓
Basi tuonane sinza kwa mnama kesho ijumaa baada ya Bunge😋😋😋
 
Me nikinywaga K-vant najitahidi sana nisishike simu yangu. Huwa najikuta nimecomment vitu vya ajabu sana kwenye magroup. Pia na outgoing call ambazo sijui niliongea nini na muhusika. Duh!
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Kunywa tu
 
Back
Top Bottom