mtoa mada ujue leo ndio umetoa watu tongotongo!
zamani flani nikiwa na washkaji tulikuwa tunanunua vile viroba vya konyag vikubwa katika duka flani la jumla..!
then tunaviweka kwenye freeza km box3 ikifika jioni tunaanza kuvinyonya!hiyo ilikuwa ni daily basis.
tulikuwa 3 na hao washkaji zangu wao wanaishi abroad,
kwa muda wa mwezi kila mmoja alirudi alipotokea lakini kila mmoja alipata kitu tofauti..
huyu mmojawapo hata siku hiyo tupo JKN tulikuwa tunanyonya viroba!
alipofika destination aliingizwa ICU!
akaambiwa mahali ulikuwepo ungekaa siku3 tuu ulikuwa unakufa tunakusahau!
kwa jinsi vtu vimeoza ndani(fat liver)etc.
nijiuliza sana kama mshkaji for that time around yuko hivyo je sisi tupoje humu ndani??!!sikupata jibu!
ilinifanya niache pombe more than 6 months,
walikuja tena kipindi hamna viroba nikawashari tunywe kvant
hapo mtoa mada ndio naanza kuelewa!
maana sisi tulilala jumba la freemason,
nitaelezea vizuri ilikuwaje maana huwa tunaiita hii ni HANGOVER 10