TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Siku mepiga K Vant nkapoteza memory. Nlikuwa nimenunua samaki nikawaweka kwa buti ya bajaji yangu... kufika home sijakumbuka. Nkalala... imagine hiyo ni Ijumaa, jumatatu nataka niwashe kibajaji niwahi job... hakyamama ilitoka harufu moja matata sana.... chupa laki nne za pafyumu tofauti zilichemka kutoa harufu...
Hahahahhahahahaha....dah..tuna matukio yanafanana..mm nilirudi n utumbo wa mbuz mbichi...asbh nzi zimetamalaki ...hahhhaa shenzi kbs jaman
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Hizi K vant na Konyagi zina character sawa sijui wanashindwa kudelute vizuri maana kinachotokea sio kunywa tu na kuvuta Ethanol kwa njia pua lazima upoteze kumbukumbu shekh(Medulla lazima ipoteze masaa)

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna jamaa yangu alipiga hii kitu akavua viatu kuingia toilet ya bar[emoji119]
Hahahahahahahahahaha huyo hafai...mm inanipaga mizuka ya kuhama bar nahamaga balaa....hahaha sitak tena!...nakuaga na vibe la kikuda balaa
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
Hiki kinapendwa sana na Jobo Ndugayi, hakiwezi kufanyiwa marekebisho, labda mpaka Jobo aende tena India kupunguza damu yenye virusi vya ukimwi awekewe fresh damu ndo nasisi tuitumie hiyo absence yake kukirekebisha
 
Hahahahahhhahaahaha.....uwiii....aisee...ndo maana anavimba uso
 
KIROBA ORIGINAL...

Kwa mara ya kwanza ilikuwa 2012 pale Nyegezi bus terminal,nilikunywa hiyo kiroba original, kipindi hicho illikuwa inauzwa pakti 300, nilikunywa pombe ya shilingi 2700...nikapanda daladala za Igoma badala ya Airport/Ilemela...alafu mbaya zaidi ile pombe ulikuwa ukinywa hulewi hapo hapo ,mziki ni baadae , nilikuja kushtuka konda anasema "Kigereshi" kumbe nilikuwa nimezima, udenda kama wote kwenye shati....

Sasa hao KIROBA ORIGINAL ndio haohao brand ya K-VANT

K-VANT haikopeshi kama una kichwa panzi..
 
Hahha...mm silewi..labda nimix...! Ila asbh sikumbuki kitu
 
Hahahahaa leo nacheka jaman8 dah..dah

Mi niliacha kabisa kunywa altar wine kwasababu kuna siku nakunywa chupa nzima silewi, siku nyingine nikinywa glass 1 dunia yote inazunguka kichwa chini miguu juu, mara siku nyingine nikinywa kesho yake naharisha balaa...! Sasa ata sijui ninywe nini na mimi sipendi mavitu machungu..😐
 
Bas alter ina kisirani na ww...mm kama sitak lewa ndo nakunywa alter wne...ila dompo hata bure sitak...inakausha sana koo asbh saut inakuwa ishu! Na koo linakuwa linawaka..sitak hata bure .tumia st anna mkuu au wine mtungi!
 
Back
Top Bottom