TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Ukiwa mnywaji wa alter mara kwa mara lazima utakutana na hizi changamoto maana hata kuna marafiki zangu nao wanalalamikaga.Bas alter ina kisirani na ww...mm kama sitak lewa ndo nakunywa alter wne...ila dompo hata bure sitak...inakausha sana koo asbh saut inakuwa ishu! Na koo linakuwa linawaka..sitak hata bure .tumia st anna mkuu au wine mtungi!
Tatizo ka st anna kalaini mno kale unaweza kunywa hata ndoo nzima na usihisi kitu. Hakana tofauti na robertson.