TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Bas alter ina kisirani na ww...mm kama sitak lewa ndo nakunywa alter wne...ila dompo hata bure sitak...inakausha sana koo asbh saut inakuwa ishu! Na koo linakuwa linawaka..sitak hata bure .tumia st anna mkuu au wine mtungi!
Ukiwa mnywaji wa alter mara kwa mara lazima utakutana na hizi changamoto maana hata kuna marafiki zangu nao wanalalamikaga.

Tatizo ka st anna kalaini mno kale unaweza kunywa hata ndoo nzima na usihisi kitu. Hakana tofauti na robertson.
 
Pombe hatari ni KITOKO NA DOUBLE KICK.

K Vant hakikisha umekula ndio unywe. Pia ukinywa hiyo usichanganye na pombe nyingine. Ukikosea haya mashari itakula kwako.
double kick nilikunywa mzee sio poa nili waka hatariii siku hiyooo nilitapikaaa balaaa mpaka leo sijanywa tena... ila kiukweliii ina balaa zitoo sio poa. nilikuwa naipenda kama sina pesa maana nikipiga kamoja tu kichwa kiko safi
 
Sio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?🤭🤭..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tena
daaahh asee
ni hatari tu sijui wanaweka nini?
 
Nilijua ni mimi peke yangu Kumbe ni wadau wengi.
Juzi nilipiga nikarudi hom fresh, nikapiga story na mke mpaka usiku mnene,kuamka asubuhi mke wangu ananiambia twende basi ulikosema jana, nikabaki nashangaa tu.
hahahaahaha mimi ili mpanga mtu nika mpa mchngo wa akili kuja kuamkaaa amenifata ananiambiaaa kwani na kumbuka sasa
 
Mm hainiletei hizo..au kwasababu mostly najinyweaga alone sinywi na babe!..mm bwana st anna bwana🖐
Itakuwa.
Hivi hushangai bar nyingi wanaume wanaokunywa kvant lazima wang'oage mademu.
Yaani ile hupindui aisee.
Unaweza enda bar alone, ila huo msururu utakaorudi nao...hatari.
Siku jaribu kunywa na babe uone, atakuja kunishukuru.
Japo ukiizidisha lazima ikudhalilishe kama usipoi-control vyema.

Upo bibie....missing you 🥰
 
Itakuwa.
Hivi hushangai bar nyingi wanaume wanaokunywa kvant lazima wang'oage mademu.
Yaani ile hupindui aisee.
Unaweza enda bar alone, ila huo msururu utakaorudi nao...hatari.
Siku jaribu kunywa na babe uone, atakuja kunishukuru.
Japo ukiizidisha lazima ikudhalilishe kama usipoi-control vyema.

Upo bibie....missing you 🥰
K vant inaweza kukutoa nishai kama unamix na bia...!ila bas ni kichwa na kichwa...mm kvant hainipeleki puta zaidi ya kunifitia memory zangu.

Ila nikimis kuchetuka namix na desperado yelewiii🤣🤣...nipo aisee...! Baridi kinoma Geita
 
sasa ukinywa K-Vant usiwe mtu wa maharashtra whisky
 
Afu wahudumu wote wanageuka warembo wenye vyura walionona

Cc Behaviourist
Hahahaha
Umenikumbusha bar moja hapo Boko nilimpeleka rafiki yangu kuomba kazi.
Kufika pale, meneja akajifanya kupita nyuma yetu ili amuangalie kama rafiki yangu huyo anaeomba kazi ana chura.
Alivyomuona ana 'ubao wa kuzikia' akamwambia kuna kazi ya usafi na si uhudumu.
Ila mchina kawakomboa wadada.

Wanaume sijui huwa mnatakaga nini.
Mtadhani mnajua kumtumia huyo chura....👙👙👙
 
K vant inaweza kukutoa nishai kama unamix na bia...!ila bas ni kichwa na kichwa...mm kvant hainipeleki puta zaidi ya kunifitia memory zangu.

Ila nikimis kuchetuka namix na desperado yelewiii🤣🤣...nipo aisee...! Baridi kinoma Geita
Duh!
Nimetoka Geita juzi mwaya.
Me namix na castle lite.
Basi nikinywa kvant mzinga mkubwa na bia zangu 3...naona kama bar nzima naimiliki mimi.
Yaani hapo ni full handasi....lazima niondoke na jinsia ingine.
 
Duh!
Nimetoka Geita juzi mwaya.
Me namix na castle lite.
Basi nikinywa kvant mzinga mkubwa na bia zangu 3...naona kama bar nzima naimiliki mimi.
Yaani hapo ni full handasi....lazima niondoke na jinsia ingine.
Hhahahhaa chizi ww.! Ila kvant ina mizuka mizuri sana!sema ina maconfidence kama unayosema🤣🤣! Karibu tena
 
mtoa mada ujue leo ndio umetoa watu tongotongo!
zamani flani nikiwa na washkaji tulikuwa tunanunua vile viroba vya konyag vikubwa katika duka flani la jumla..!

then tunaviweka kwenye freeza km box3 ikifika jioni tunaanza kuvinyonya!hiyo ilikuwa ni daily basis.
tulikuwa 3 na hao washkaji zangu wao wanaishi abroad,
kwa muda wa mwezi kila mmoja alirudi alipotokea lakini kila mmoja alipata kitu tofauti..
huyu mmojawapo hata siku hiyo tupo JKN tulikuwa tunanyonya viroba!
alipofika destination aliingizwa ICU!
akaambiwa mahali ulikuwepo ungekaa siku3 tuu ulikuwa unakufa tunakusahau!
kwa jinsi vtu vimeoza ndani(fat liver)etc.

nijiuliza sana kama mshkaji for that time around yuko hivyo je sisi tupoje humu ndani??!!sikupata jibu!

ilinifanya niache pombe more than 6 months,

walikuja tena kipindi hamna viroba nikawashari tunywe kvant

hapo mtoa mada ndio naanza kuelewa!
maana sisi tulilala jumba la freemason,


nitaelezea vizuri ilikuwaje maana huwa tunaiita hii ni HANGOVER 10
 
me k vant huwa naifanbnisha na binti mrembo.mimi natumiaga gongo no 1.ya jero tu nkinyw nalewa wiki nzima

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Umenikumbusha kuna bosi wangu mmoja hivi alilewa siku tatu mfululizo.Alichanganya Wine na Kvant
 
Back
Top Bottom