TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Huo upotezaji wa kumbukumbu ni wa muda kikiwa kwenye damu ama ni permanent & pensionable
Sio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?🤭🤭..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tena
 
Dada yangu nawe mlevi wa vant mbna wife material kabisa.
mm nishawai ipiga nikakamata malaya, nikasahau hata nilimuokota wapi.
Yaani mm tena ukitaka ugombane na mm ulete habari za mapenzi...hahahaa nakunywa mkuu..ukioa utaelewa...niliingia nakunywa juice tu..nw mzinga wa kvant mkubwa namaliza na nnadrive safi kbs.ila sio kila mara...twice a month!
 
Yaani mm tena ukitaka ugombane na mm ulete habari za mapenzi...hahahaa nakunywa mkuu..ukioa utaelewa...niliingia nakunywa juice tu..nw mzinga wa kvant mkubwa namaliza na nnadrive safi kbs.ila sio kila mara...twice a month!
Mmmh mzinga unamaliza mwenyewe, ww ni hatar.
Mm nikilewa lazima nikuombe mzigo tena k vant inakimbilia chini.
 
Kweli serikali inatakiwa iingilie kati. Kiuhalisia hizi pombe kali za hapa kwetu sio kabisa. Yaani sio ambacho wanywaji wanaaminishwa ndicho. Nyingi ni sumu.

Imagine pombe kama Diamond, Kitoko, HighLife and the likes. Hizo ni gongo tu kama gongo.

Hizo Konyagi na Kvant nazo zinachakchuliwa sana. Juzi Arusha kuna mama amekamatwa na mtambo na vifaa vya kutengenezea Konyagi kwenye chumba.
High Life sio poa naienda sema ukikata gogo halufu yake lazima mbu wafeeee
 
Natumia hata 3hrs mkuu..namix na koka .sio dry..inakuwa kama wine tu altar😋! Bas haikufai ...mm st anna inaniwakisha .sio k vant

sasa ukitaka k vant iwe tamuuu balaa na huta jutia chukua limaoo lako moja kata vipande tia kwenye glass chukua na sprite zero mimina aiseee ni balaaa unaweza maliza chupa mbili kizembe
 
sasa ukitaka k vant iwe tamuuu balaa na huta jutia chukua limaoo lako moja kata vipande tia kwenye glass chukua na sprite zero mimina aiseee ni balaaa unaweza maliza chupa mbili kizembe
Yes namix na limao na koka hulewi ng'o..spirite mm inanishinda
 
Toka pepo mchafu🤣
Siku mepiga K Vant nkapoteza memory. Nlikuwa nimenunua samaki nikawaweka kwa buti ya bajaji yangu... kufika home sijakumbuka. Nkalala... imagine hiyo ni Ijumaa, jumatatu nataka niwashe kibajaji niwahi job... hakyamama ilitoka harufu moja matata sana.... chupa laki nne za pafyumu tofauti zilichemka kutoa harufu...
 
Sio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?[emoji2960][emoji2960]..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tena
[emoji23][emoji23][emoji23] mtura
 
Back
Top Bottom