Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
TRA inaonekana hawaamini TBS lakini Watu wa TBS ndio wenye mamlaka ya kusema haya ni mafuta gani,Meli mbili zenye mafuta ya kula tani 62 zimekwama kwa zaidi ya wiki mbili katika Bandari ya Dar kufuatia mvutano juu ya aina ya mzigo uliomo kwenye meli hizo na kodi wanayotakiwa kulipa. TBS wamesema mzigo huo ni mafuta ghafi (crude oil), wakati TRA wanadai ni 'semi-refined.'
MYTAKE:
kati ya TRA na TBS nani yupo sahihi? au hivi vyombo haviaminiani?
Inanikumbusha ya makinikia hii kitu.
Nilikuwa nikiuliza TBS wanatoka wapi kwenye food regulations hapa nchini? Mbona mwenye jukumu la kutoa jibu la kimamlaka ni TFDA ambaye ndiye regulator wa drugs and Food hapa Tanzania?Kama wameshindwa kuelewana aje TFDA amalize mgogoro huo maana yeye ndo anatoka wizara ya Afya wengine wote hao wanatafuta pesa tu!
Kazi kujua kama Ni refined au semi-refined Ni kazi ya TBSKama wameshindwa kuelewana aje TFDA amalize mgogoro huo maana yeye ndo anatoka wizara ya Afya wengine wote hao wanatafuta pesa tu!
Hizo meli ni za MO hili lipo wazimzigo upi sasa?? leteni mada zilizokamilika, mbona mnakuwa km Da Mange.
semeni nani ameleta huo mzigo tutawasaidia maana wakwepa kodi wanafahamika hii Tanzania
Kazi kujua kama Ni refined au semi-refined Ni kazi ya TBS
(wazee wa ubora)
TFDA- Wao kazi yao Ni kukagua viambata sumu isije ikawa na athar za kiafya kwa mlaji
My take;
TRA kazi yao Ni kuichukua tu kauli ya TBS na kuifanyia kazi
TRA Hawana maabara ya kupima mafuta,
TBS ,ndo wenye maabara na mamlaka ya kupima ubora wa mafuta.
TRA KAZI YAO NI KUTEMBEZA TU KIBUBU
ie: kukusanya kodi kutokana na maelekezo kutoka TBS.
Truesio kweli mzee sio kila wanaloambiwa wakubaliane nalo: hao TRA ndio wanaowajua wakwepa kodi na wanajua wanakwepaje, hapo kuna kitu TRA wasipuuzwe hii awamu inataka kupunguza ujanja ujanja