Tetesi: TBS wamesema mzigo huo ni mafuta ghafi (crude oil), wakati TRA wanadai ni 'semi-refined'.

Tetesi: TBS wamesema mzigo huo ni mafuta ghafi (crude oil), wakati TRA wanadai ni 'semi-refined'.

Ni lazima kutaja tofauti kati ya non refined na semi refined, kusema tu hakuna maana yoyote.
Refinery ina stages, yapo katika stage gani?
 
Ni lazima kutaja tofauti kati ya non refined na semi refined, kusema tu hakuna maana yoyote.
Refinery ina stages, yapo katika stage gani?
Hizi mambo kwa TRA Ni msamiati.

Wao wanajua mambo ya Miamala,Risiti&EFD mashine.
 
ikumbukwe Mh.Rais alisema akiwa Singida..(wengine wanaleta mafuta wanasema n crude oil na wengine mnao hapa hapa) kwa kauli hii n wazi MO aendelee na biashara zingine. tuko kwene vita ya kiuchumi ila bado hatujajua tunapgana nan...
 
mzigo upi sasa?? leteni mada zilizokamilika, mbona mnakuwa km Da Mange.

semeni nani ameleta huo mzigo tutawasaidia maana wakwepa kodi wanafahamika hii Tanzania
huwezi kumsaidia mtu wakati tayari kichwani una majibu yako.
 
Tatizo kubwa la TRA inaendeshwa kisiasa sana hawana vipimo hawana maabara TBS ndio wanajua kama mafuta ghafi au semi-refined pili inashangaza sana Mo hawezi agiza hata siku moja semi-refined mafuta kwasababu anajua fika kodi itakuwa kubwa sana hili jambo ni bora TRA wakawasikiliza TBS mwisho wa siku TRA ndio watapata aibu kwa tamaa zao za kipuuzi.
 
arete mahera anayoyachezea kure simba yaje kureta maendereo (kwa sauti ya john Heche)
 
Kwa Akili Ya Kawaida Ambao Haihitaji Degree Wala Uwe Master,akiimport Crude Au Refined/semirefined Wapi Mo Ananufaika Zaidi?
Inabidi Kuna Watu Waangalie Job Descriptions Zao,wanatoka Nje Ya Mstari
 
Back
Top Bottom