Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nlikua nawaza kma wewe ton 62 ni mzigo wa jahazi,labda tani 62,000Mkuu usitulishe matango pori, tani 62 ni mzigo wa kubeba jahazi moja la kawaida tu toka TANGA KUJA PEMBA.
Sawa nitafanya hivyo, kama mkija kucomment/kuelezea mnaojua mambo in deep.Kama hujui mambo in deep sio lazma ucomment...
TFDA anasimamia expired dateNi kama vile kuna conflict of duties kati ya TBS na TFDA. TBS akishasema bidhaa hii kimekidhi ubora unaotakiwa TFDA anasimamia usalama gani tena wakati tayari chakula hicho ni bora na ni salama?
Hizi mambo kwa TRA Ni msamiati.Ni lazima kutaja tofauti kati ya non refined na semi refined, kusema tu hakuna maana yoyote.
Refinery ina stages, yapo katika stage gani?
huwezi kumsaidia mtu wakati tayari kichwani una majibu yako.mzigo upi sasa?? leteni mada zilizokamilika, mbona mnakuwa km Da Mange.
semeni nani ameleta huo mzigo tutawasaidia maana wakwepa kodi wanafahamika hii Tanzania
Hatari sana mafuta lita 20 mtaani ni 62000/- bei ya leo
Hahahahahah......kama ni hivi hii taasisi kuwepo kwake ni hasara kwa taifa! With all the running cost wanaangalia products expiry dates tuu?TFDA anasimamia expired date
Tra maji yako shingoni mapato yamepungua .wanatafuta pakutupia lawamaUkiona hivyo dili limegoma kila upande unataka kuuzidi upande mwingine.
Hapo sasaaKwani Magufuli amesema ni nini hicho?
Yes, PhD Organic Chem. iamuwe.Kwani Magufuli amesema ni nini hicho?