TBT: Foleni ya kwenda kwa Babu wa Loliondo

TBT: Foleni ya kwenda kwa Babu wa Loliondo

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times

Je, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.

1728545282261.jpg
 
Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times

Jeje unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo?
Naami gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu
View attachment 3120588
WATANZANIA NI WAPUMBAVU SANA ...KWANINI MSIWE MNANIULIZA MIMI ...TATIZO LENU NI KUDHARAU WATU WENYE AKILI NYINGI KUPITA BINADAMU WA KAWAIDA ...NAKUMBUKA NILIMKATAZA JAMAA YANGU KUHUSU WAO KWENDA KUPOTEZA MUDA NA HAYO MAKIKOMBE YA BABU ...AKUNISIKIA .. BAADAE ALIKUJA KUKUBALI NILICHO MWAMBIA... HUU UPUMBAVU WA NAMNA HII UPO KWA WAKRISTO NA WAISLAM KWENYE HAYA MAMBO YA DINI ZAO ...KWA SASA DINI NI USHABIKI KAMA WA YANGA NA SIMBA
 
Hiyo ilionesha Watanzania wengi ni wagonjwa, waliokosa kuelimika na waliokata tamaa ya maisha

Ilifikia kipindi mtu anamwondoa mgonjwa wake Hospitali ya Taifa Muhimbili eti anampeleka Kwa huyo Mzee huko Loliondo akanywe Kikombe cha dawa🙌

Sasa hivi wamehamia Kwa Mitume wananyweshwa Maji na kukanyaga mafuta 🙆

Tuna safari ndefu kama Nchi
 
Huu ulikuwa mkakati ambao uliibuliwa baada ya serikali kushindwa kuwalipa nyongeza za mshahara madaktari

Njia pekee ilikuwa ni kumuibua huyu babu na kuwasahulisha watu kufatilia tiba hosptalini.

Tukisema kizazi cha 50-70 kilikuwa kimejaa watu wajinga wasiojitambua mnabidi kuelewa.

Madhara na vifo vilivyotokea vilikuwa ni vingi Sana.
 
Hiyo ilionesha Watanzania wengi ni wagonjwa, waliokosa kuelimika na waliokata tamaa ya maisha

Ilifikia kipindi mtu anamwondoa mgonjwa wake Hospitali ya Taifa Muhimbili eti anampeleka Kwa huyo Mzee huko Loliondo akanywe Kikombe cha dawa🙌

Sasa hivi wamehamia Kwa Mitume wananywesha Maji na kukanyaga mafuta 🙆

Tuna safari ndefu kama Nchi
Acha kujitukana. Wewe ni mkongo? Kwa babu walikuwepo hadi wachina na wazungu. Pale Nairobi kuna stendi maalum ilitengwa kwa ajili ya watu wanaoenda kwa babu. Mambo ya imani yako deep mno. Pia kuna wengine walienda kwa babu kama burudani tu ili kujionea yanayojiri.
 
WATANZANIA NI WAPUMBAVU SANA ...KWANINI MSIWE MNANIULIZA MIMI ...TATIZO LENU NI KUDHARAU WATU WENYE AKILI NYINGI KUPITA BINADAMU WA KAWAIDA ...NAKUMBUKA NILIMKATAZA JAMAA YANGU KUHUSU WAO KWENDA KUPOTEZA MUDA NA HAYO MSKIKOMBE YA BABU ...HAKUNISIKIA .. BAADAE ALIKUJA KUKUBALI NILICHO MWAMBIA... HUU UPUMBAVU WA NAMNA HII UPO KWA WAKRISTO NA WAISLAM KWENYE HAYA MAMBO YA DINI ZAO ...KWA SASS DINI NI USHABIKI KAMA WA YANGA NA SIMBA
Wewe ni mkongo?
 
Back
Top Bottom