jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Wajinga kila kizazi wapo,hata kwenye corona wameonekana pia!!Wachokonozi wanasema watu wenye umri wa miaka 48 na kuendelea ni watu wapumbavu kuwahi kutokea kwenye nchi ya Tanzania.Hao walioenda hapo Samunge kulishwa magome ya miti umri wao ndo huo.