kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
now ni mwamposa akitoka mwamposa anayefuta ni mimi kuwaambisha.Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times
Jeje unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo?
Naami gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu
View attachment 3120588