Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Afya inatafutwa kwa kila njia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninaowakumbuka wote walioenda kupata kikombe cha babu, hatunao tena duniani😡Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times
Je, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.
View attachment 3120588
Hao "Wachokonozi" Takwimu hizo wamezipata wapi? Halafu na Je; wewe binafsi unaziamini?Wachokonozi wanasema watu wenye umri wa miaka 48 na kuendelea ni watu wapumbavu kuwahi kutokea kwenye nchi ya Tanzania.Hao walioenda hapo Samunge kulishwa magome ya miti umri wao ndo huo.
Na wazungu pia tulikuwa nao kwenye foleni.Kwa babu walikuwepo hadi wachina. Hakuna rangi iliyokosekana.
Mkuu; Imani ni kitu kingine. Kwani wale wanaokata viungo vya watu e.g. watoto na Albino na kutoweka navyo unadhani ni kwa nini? Imani.......Wajinga kila kizazi wapo,hata kwenye corona wameonekana pia!!
Maajabu ya mtu mweusi, hasa watanzania.Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times
Je, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.
View attachment 3120588
Aisee, ukisikia influence ndo hii sasaPicha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times
Je, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.
View attachment 3120588
wagonjwa wengi walikuwa na
UKIMWI - huwa nawaambia watz wanangoma Sana hasa kizazi cha 1950-1970s 5
Huyo katuma ndege Madagascar ikalete mitishamba ya COVID. Na serikali yake ikazindua kachumbari ya kutibu imefungashwa kwenye chupa za tomato sauce.JPM nae alienda.
Ilikuwa noma sana. Watu mtoni wanaoga jinsia zote pamoja... ni full hofuNa wazungu pia tulikuwa nao kwenye foleni.
sijui walikipata takwimu.Kwa akili hizi za maeneo yote ya nchi kunywa kikombe,naziaminiHao "Wachokonozi" Takwimu hizo wamezipata wapi? Halafu na Je; wewe binafsi unaziamini?
Kama unaziamini basi walau iwe ni kwa 40% kwani waliokwenda walikuwa ni wale waliokuwa na matatizo ya kiafya na kuwa na imani: watoto walipelekwa, vijana na wenye umri wa kati walikwenda wenyewe au kusindikizwa; wazee (umri wa uzee 55yrs+) nao walikuwepo. Yan kila rika walikwenda. Bei ya kikombe ilikuwa ni jero tu.sijui walikipata takwimu.Kwa akili hizi za maeneo yote ya nchi kunywa kikombe,naziamini
Sio kweli.Tatizo watanzania wanapenda mambo rahisi. Hawataki kujishughulisha. Kwa Mkristo aliyekwenda kwa huyo Babu alikuwa hajitambui. Mungu kamwe hafanyi mambo ya jinsi hiyo.