Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Lakini nahisi alikuja kuacha ...hiyo ilikuwa kenya huko.Ndo alikuwa hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini nahisi alikuja kuacha ...hiyo ilikuwa kenya huko.Ndo alikuwa hivyo?
Haya matukio yanatengenezwa kuwapumbaza Watanganyika ili Chama Twawala waendelee kutawala!Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times
Je, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.
View attachment 3120588
Babu wa loliondo mwenyewe alipata hela ila kafa maskiniAmbilikile Mwasapile (Babu wa Loliondo)
Kuna dogo mwingine aliibuka Mbeya Mjini- Mabatini nae alitoa kikombe alipata maokoto akaishia kununua pikipiki na kuangukia kwa warembo
Miti shamba siyo ushirika, labda ilipata sifa ya kuamini miti shamba ila siyo ushirikina.Hili tukio lilitia aibu sana nchi yetu na kutupa sifa ya kuwa nchi ya wajinga wengi na inayoamini ushirikina zaidi duniani. Cha kushangaza mawaziri na viongozi wote almost walienda.. sasa elewa level hiyo ya ujinga, halafu tathmini kama viongozi hao wana uwezo wa kuleta, kushawishi, kuchochea maendeleo yoyote nchi hii.
Kwani kutumia mitishamba ni ujinga?Mpaka leo watu wa namna hiyo wapo wengi tu, kama huamini nenda kwa wauza dawa za asili/mitishamba uone,,,, hasa wale maarufu 🫣🫣🙌🏽
Hahaha.............hiyo hela ya kukodi Chopa si Bora nifanye nauli niende kutibiwa Apollo ama South AfricaMkuu usilaumu watu
Chukulia mfano ndio wewe unaumwa upo mihimbili dawa zote zimedunda
Alafu unaangalia ITV chanel credible watu wanakunywa dawa wanapona na wewe ni bilionea kifo unakiona hiki hapa
Utashindwa kukodi hrlkopta uende loliondo?
Kuamini witch craft ndio sifa yetu kubwaMiti shamba siyo ushirika, labda ilipata sifa ya kuamini miti shamba ila siyo ushirikina.
🤣🤣🤣 bad enough kuna watu walikuwa ni phd holders nao walikwendaHiyo ilionesha Watanzania wengi ni wagonjwa, waliokosa kuelimika na waliokata tamaa ya maisha
Ilifikia kipindi mtu anamwondoa mgonjwa wake Hospitali ya Taifa Muhimbili eti anampeleka Kwa huyo Mzee huko Loliondo akanywe Kikombe cha dawa🙌
Sasa hivi wamehamia Kwa Mitume wananyweshwa Maji na kukanyaga mafuta 🙆
Tuna safari ndefu kama Nchi
Ni balaa, ila wengi ya walioenda kwasasa wameshapoteza maisha🤣🤣🤣 bad enough kuna watu walikuwa ni phd holders nao walikwenda
Yeah ilikuwa ni pyramid scheme ile ,Ni balaa, ila wengi ya walioenda kwasasa wameshapoteza maisha
Nahisi walikuwa wanaugua serious zaidi
Sio walikuwa. Hadi leo bado tuko wajinga.Walikua wajinga sana
Mbona wapo kibao Kwa manabii feki kukanyaga mafuta na kunywa maji ya upako, sisi africans Mungu alitunyima akiliWatoto wa 2000s sio rahisi uwafanyie mind manipulation .
Wanyaki kwa kweli wanaongoza kwa utapeli nchiniWanyaki mmewaovertake wachaga kwa spidi kubwa sana 😹
Mimi sipendelei kulaumu sana watu wanaotafuta tiba kwani, najua siku ukiumwa kisawa sawa kama Nabii Ayoub, Ndio utarudi hapa kutueleza vizuri kuwa walikuwa wajinga au la!Walikua wajinga sana
Utakuta mtu ni msomi mzuri lakini anadanganywa na nabii feki ambaye ni darasa la saba au form four failureWatanzania wapuuzi sana
Leo wanajaa kwa mitume kukanyaga mafutaa
Nilishawahi kwenda mwaka 2010 mwezi wa tatu,kivumbi chake sio mchezo,shida tupu.......ilifikiwa wakati mpaka chaati moja ikauzwa kwa bukuPicha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu 'Babu wa Loliondo' ambayo watu wengi waliamini kuwa inatibu magonjwa mbalimbali
.
Source: Swahili times
Je, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.
Ni saidie kuwa mchawi ila sio wakuuaUsituone watu tunajifunza uchawi huku gamboshi tunamaana kubwa sana nchi hii fursa ni nyingi
Jikwete na Wassira pia walienda!JPM nae alienda