cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Kwa Mwamposa ni kweli kabisaHiyo ilionesha Watanzania wengi ni wagonjwa, waliokosa kuelimika na waliokata tamaa ya maisha
Ilifikia kipindi mtu anamwondoa mgonjwa wake Hospitali ya Taifa Muhimbili eti anampeleka Kwa huyo Mzee huko Loliondo akanywe Kikombe cha dawa🙌
Sasa hivi wamehamia Kwa Mitume wananyweshwa Maji na kukanyaga mafuta 🙆
Tuna safari ndefu kama Nchi