cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Kwa Mwamposa ni kweli kabisaHiyo ilionesha Watanzania wengi ni wagonjwa, waliokosa kuelimika na waliokata tamaa ya maisha
Ilifikia kipindi mtu anamwondoa mgonjwa wake Hospitali ya Taifa Muhimbili eti anampeleka Kwa huyo Mzee huko Loliondo akanywe Kikombe cha dawa🙌
Sasa hivi wamehamia Kwa Mitume wananyweshwa Maji na kukanyaga mafuta 🙆
Tuna safari ndefu kama Nchi
Ulitumiss eeh?
Hapana mwenyekiti.🤣🤣🤣🤣🤣 hata wa tuma kwa namba hii watakua ni wao tu
Nilikumiss wewe🤣🤣Ulitumiss eeh?
Kama uko free mpigie🤣🤣🤣Hapana mwenyekiti.
Uko wapi kwanza?,🤣🤣🤣
Nitakupigaaaa nipo kwenye kikaoHapana mwenyekiti.
Uko wapi kwanza?,🤣🤣🤣
Ni hatari, maana sio Kwa foleni ileKwa Mwamposa ni kweli kabisa
NamdipuuuKama uko free mpigie🤣🤣🤣
Nakudipu mwenyekitiNitakupigaaaa nipo kwenye kikao