TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

du aisee basi tu mpaka raha enzi hizo nani kaanza darasa la kwanza mwaka 1983 hapa?
 
Hivi ni mimi tu sijawahi kuandika hadi peni ikaisha au kuna wengine, maana nikipata pen mpya siku tatu ishapotea..!
Fagio nikitengeneza leo siku mbili tu washaiba,Anyway mnawakumbuka Hawa manigga hapa chini??
View attachment 1187329
Aisee kwenye hii hadithi tulifanaya maigizo na mimi ndio niliigiza kama mfalme, hap kwenye laa laa laa niliruka hatari
 
Convo yenu hii imesimamia kucha. Hongereni wa mabasi ya njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…