Amazon Woman
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 796
- 1,187
Yani hii ilikuwa ni permanent badge kwamba nyumbani kuna pasi.Nimefanya ujinga mwingi ila huu sijawahi kuufanya View attachment 1187347
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hii ilikuwa ni permanent badge kwamba nyumbani kuna pasi.Nimefanya ujinga mwingi ila huu sijawahi kuufanya View attachment 1187347
Hahahana Alikua hajazaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Baraka yasemekana ndio Baraka the princeView attachment 1187336
Niliwachukia wanawake wanaotoga pua mpaka keshoKipini kilileta majanga kwa pamela..View attachment 1187338
Huyu bi mkubwa nilikua namuonea huruma mume wake alikua mchoyo kinyama...kuna siku nikambebea maandazi nikampelekea ticha ampe wacha nichezee stikiHawa hapa...View attachment 1187346
Unasoma Bunge,Muhimbili nk.... ukifanya hivi wajanja wanajua una Xmass moja tu mjini tokea utoke Rombo Tarakea[emoji23][emoji23]Nimefanya ujinga mwingi ila huu sijawahi kuufanya View attachment 1187347
Tulikua tuna Kibanga humu JF sijui yuko wapi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Story zingine bwana..
View attachment 1187362
Aiseee!Tunaenda kusoma Hadithi ya Nainei,Dora na Nana..View attachment 1187342
"Heri mimi sijasema" unakumbuka sentensi hii?Mwalim :Nani anataka kuwa Kama chitemo.
Darasa : Kimya.
Mwalim : Nani anataka kuwa kama Sadiki.
Darasa :Mimiiii [emoji119][emoji119]
Aisee kwenye hii hadithi tulifanaya maigizo na mimi ndio niliigiza kama mfalme, hap kwenye laa laa laa niliruka hatariHivi ni mimi tu sijawahi kuandika hadi peni ikaisha au kuna wengine, maana nikipata pen mpya siku tatu ishapotea..!
Fagio nikitengeneza leo siku mbili tu washaiba,Anyway mnawakumbuka Hawa manigga hapa chini??
View attachment 1187329
Hata sikumbuki."Heri mimi sijasema" unakumbuka sentensi hii?
Hii title yake iliitwaje?Wazee wote wa kujilipua kimaisha Inspiration waliitoa kwa huyu msela hapo mlangoni..View attachment 1187330
Convo yenu hii imesimamia kucha. Hongereni wa mabasi ya njanoNone of our guests are from AMERICA.
It is a weird question and you don't like it but I will have to ask, no way out. "What else could I do"???
I told them to come, and I know they came yesterday (the whole day), today as well (from morning).
I was checking my computer and thought may be TRUMP the "the racist" had some problems and he needed to restart. Then I did something on my computer and notified you, did you check yours???
Look, they are not hacking tigo, can you just do something??
Back in time, back in time broConvo yenu hii imesimamia kucha. Hongereni wa mabasi ya njano
Watoto wa Kisukuma hawa, huyu wa kwanza kama mjukuu wa Magufuli vile.Tunaenda kusoma Hadithi ya Nainei,Dora na Nana..View attachment 1187342
Huu kipindi ile ulikuwa ndio ujanja uliopitiliza.Nimefanya ujinga mwingi ila huu sijawahi kuufanya View attachment 1187347