MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hekaya za Abunuwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa darasa la 4 niliibiwa kitabu cha sayansi na mwalimu akatoa vitisho kuwa lazima aliyepewa kitabu arudishe mwisho wa muhula kabla hatujafunga shule.Niliibiwa kisalfeti changu kilichojaa daftar za shule.. ili home wasijue nilikua naingia kininja natoka kininja. Nilikaa kama wiki mbili siandiki ila naenda shule kuiba daftar tu! Nilimilisha zimefika daftar 20 mpya... daftar zikimwaga kutoka kusahushwa nami najichanganya
Ahaaaa chitemo mimi masikini uvivu wangu nyumban raha sanaYule mwizi wa pen niko hapa compas langu lilijaa pen za kila aina.
Ili kupoteza ushahidi nazikwangua na wembe. [emoji23]
Sadiki na Chitemo.
Shuleni tulikuwa tunashindana wizi wa vitu. Yaani ilitakiwa utumie akili uingie darasa lingine uibe na urudi na kitu darasa kwenu uoneshe wenzako kuwa umeiba darasa fulani.
Sasa vijana tukajifanya Scofield na kuanza kutumia akili na kweli wengi wao walifanikiwa mimi nawachora tu. Siku moja nikawaambia mimi siwezi kuiba humu madarasani kwa sababu hakuna mwanafunzi ataweza kuruka mtego wangu.
Mchana nikazama ofisini kwa Headmaster nikampa stori nyingi za uongo na kweli akaanza kukenua meno anacheka kumbe mimi nataka nitoke na kitu chochote ofisini kwake nikawaoneshe darasani. Kama dakika 5 mzee akajaa kwenye 18 nikapiga kalamu yake nyekundu nikamuaga Mwl mimi narudi darasani.
Nikafika class nikawaonesha na kutaka mtu alipe nilichofanya, hakuna aliyeweza. Basi nikawataka waache wizi maana hawajui kuiba.
HADITHI ZA ESOPO....Simulizi za Esopo
Hahaaaaaaaa mkuu hiyo dhambi mkuu.. mimi darasa la sita ndio nilipoteza kitabu cha sayansi sikua na amani kabisa na shule ila ticha sijui alinipotezea au vipiNikiwa darasa la 4 niliibiwa kitabu cha sayansi na mwalimu akatoa vitisho kuwa lazima aliyepewa kitabu arudishe mwisho wa muhula kabla hatujafunga shule.
Nikakitafuta pasipo mafanikio, nikasema isiwe tabu nikaiba vitabu vyote vya sayansi, vilikuwa 12 nikapeleka nyumbani. Nikamfuata mwalimu nikamwambia nimepata kitabu changu akasema Good. Wengine wote msala ukabaki kwao.
Hapana sikuwa na mambo ya ngono ngono mkuu nikiwa shule hata katika ujana wangu. Nilikuwa busy na mpira na uchokozi ila huko nilikuwa mtazamaji tu mkuu. Na lilipokuwa linakuja kwenye suala la kutumia akili nilikuwa najiweza sana kufanya kitu na ushahidi usibaki.Hahaha kaka we fundi sana ila lipa hii
Mi nliwaahidi kutoka na mwalimu amina na mtoto wa head mistress
Kuna wakati, Abunuwasi aliamua kuwa mfuga mbuzi. Alinunua mbuzi wa kufuga huku akiwa na lengo la kujiongezea kipato chake pindi mbuzi huyo atapoanza kuzaa, ili awafuge wawe wengi na kumuwezesha kuwa tajiri kuliko wote waliokuwepo katika mji ule..Hekaya za Abunuwasi
Shuleni uchangamfu ni kitu kizuri sana ukibung'aa watakupanda kichwani. Licha ya kuwa mdogo ila nilikuwa sikubali kunyanyasika kizembe.Hahaaaaaaaa mkuu hiyo dhambi mkuu.. mimi darasa la sita ndio nilipoteza kitabu cha sayansi sikua na amani kabisa na shule ila ticha sijui alinipotezea au vipi
Hahaa enzi hzo tukitoka mstarini tunakimbizana kiwahi dawati sasa mm rafk zangu kama walikua washanijuloa nikiwahi nafasi wnanitkenya hadi nawaachia nachukua kipande cha tofali naenda kukaa mbele hukoShuleni uchangamfu ni kitu kizuri sana ukibung'aa watakupanda kichwani. Licha ya kuwa mdogo ila nilikuwa sikubali kunyanyasika kizembe.
Nikiibiwa sitafuti mwizi, mimi naibia wengi ili tuonekane tumeibiwa wengi.
Ilikuwa darasa la pili nakumbuka, nilichaguliwa kuwa Monitor. Kumbe darasa lile halikujua kuwa limefanya kosa kubwa sana kunipa madaraka.Hahaha kaka we fundi sana ila lipa hii
Mi nliwaahidi kutoka na mwalimu amina na mtoto wa head mistress
Mimi nilikuwa nakaa kwenye dawati kupitia mgongo wa rafiki yangu alikuwa mbabe sana.Hahaa enzi hzo tukitoka mstarini tunakimbizana kiwahi dawati sasa mm rafk zangu kama walikua washanijuloa nikiwahi nafasi wnanitkenya hadi nawaachia nachukua kipande cha tofali naenda kukaa mbele huko
Yaani wewe una tabia sawa na zangu, mimi ni mpiga kelele hapa JF ila kihalisia ukiniona unaweza kudhani mimi ni mhamiaji haramu.teh
Hata mimi mkuu hiyo ilkua show off tu mzee
Anyway in reality mkuu mi nlkua mkimya sana aisee no talks
Few friends nmerushwa madarasa mawili la 2 to la 4
Pia la sita to form one
Mzee nlkua mkimya sana aisee
Hahahaaa u CR unaboa maana unaweza kwenda kumtafuta lecture yupo hukooooooo.Ilikuwa darasa la pili nakumbuka, nilichaguliwa kuwa Monitor. Kumbe darasa lile halikujua kuwa limefanya kosa kubwa sana kunipa madaraka.
Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Juma alikuwa mkubwa kuliko mwanafunzi yeyote mle darasani, na ndiye alikuwa Mayweather wa darasa. Hivyo nikamteua awe kama msaidizi wangu kutokana na ubabe wake.
Shule yetu ilikuwa na kelele kama kundi la nzige ila darasa langu muda wote lilikuwa kimya sana kama vile hakuna mwanafunzi. Nilikuwa sina utaratibu wa kuandika majina ya wapiga kelele, mimi na Juma tulikuwa tunatembea na fimbo na ikitokea hata mtu mmoja kakohoa basi darasa zima linapigwa fimbo mbili mbili.
Hali hiyo ilifanya wanafunzi waogope utawala wangu na niliongoza kwa muhula mmoja tu baada ya hapo Mimi na Juma tukawa wanafunzi wa kawaida na kiongozi mwingine akatawala.
Sasa kwa mfano huu bado nilipofika chuoni wakajidanganya kunipa uongozi. Hili sitalisemea naweza kukoswa na teuzi za Mh.
MandawaManenge na Manjawa.....
[emoji28] [emoji28] Yaani maisha yale yalikuwa ni ya furaha tupu, wakati huo hakuna mwanafunzi anaewaza kuhusu kesho yake, wote tulikuwa tunatazama siku iliyopo tu.Hahahaaa u CR unaboa maana unaweza kwenda kumtafuta lecture yupo hukooooooo.
Teh ... 😅😅Yaani wewe una tabia sawa na zangu, mimi ni mpiga kelele hapa JF ila kihalisia ukiniona unaweza kudhani mimi ni mhamiaji haramu.
Ya hcho kitabu hapo juu cha lalaa.. Nakisoma tuSoft copy ya nini...?
Hii tabia ni mbaya sana nimeona athari zake, sitaki mwanangu aje kuwa na tabia ya ukimya kama wangu. Nina rafiki wachache sana na hata hao marafiki siwapi muda, napenda kuwa mwenyewe na sipendi kupigiwa simu za kukutana pasipo kuwa na kitu cha muhimu.Teh ... [emoji28][emoji28]
Mkuu mimi hadi nipokee simu yako.aisee ujue wewe ni so special
Yaani dah hii tabia sijui itakwisha lini