TBT nikiwa chuoni: Vijana wadogo, hakuna Msichana mgumu wala usinunue dawa za mvuto...

TBT nikiwa chuoni: Vijana wadogo, hakuna Msichana mgumu wala usinunue dawa za mvuto...

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.

Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi.

Mabinti wengi wa vyuoni huwa wana miaka 18 hadi 23, huu umri wengi bado akili hzijakomaa ukilinganisha na dada zao,

Ni vitu vidogo vidogo tu vinawazuzua.

1. Vaa vizuri (sio kawaida au vibaya) hakikisha kwenye 3 bora za wanaovaa vizuri na kupendeza uwemo, pangilia mavazi yako vizuri, uwe unavaa kupendeza sio kuvaa tu ilimradi, achana na mavazi ya kisela, Binafsi Nakumbuka enzi hizo nlikuwa napndelea suti, vizibao, moka, n.k hakikisha upo next level

2. Kuwa msafi, hakikisha unanyoa nywele kwa wakati, unazichana fresh, ndevu ziweke fresh, n.k

3. Piga zoezi - Beba vyuma, fanya situps, pushups, n.k ujae jae kimtindo kifua, mabega na mikono,

Nakwambia ukifanya haya utashangaa mwenyewe, hizi message za hi na goodnight kutoka namba usizojua utazichoka, Kukataliwa ni ngumu sana ukirusha ndoano

MUHIMU: Usisahau kupiga kitabu - Kumbuka upo chuo kwahio jaribu kubalance kilichokupeleka na maisha yako nje ya kilichokupeleka, maana huwezi ukawa unasoma tu muda wote huta enjoy chuo na huwezi ukawa umepuuza kilichokupeleka chuo maana itakugharimu, kwa hio piga 50/50.
 
Nimesoma pale mwecau wala sijawahi kushoboka na wanachuo
Sema binadamu tumeumbwa wa kipekee sana na preference tofauti tofauti.

MÊmENtO HoMO
 
Nimesoma pale mwecau wala sijawahi kushoboka na wanachuo
Sema binadamu tumeumbwa wa kipekee sana na preference tofauti tofauti.

MÊmENtO HoMO
Kwa nini mkuu? Halafu atuambie na kozi aliyokuwa akisomea, ili tulinganishe na jinsi aina hiyo ya 'mademu' ambao brother anawaongelea hapa.
 
Usiweke wingi, jihesabu wewe binafsi, pia sio wanawake wote unaweza kuwanasa kwa njia ulizokuwa unatumia wewe, watu wapo tofauti.
 
Nimesoma pale mwecau wala sijawahi kushoboka na wanachuo
Sema binadamu tumeumbwa wa kipekee sana na preference tofauti tofauti.

MÊmENtO HoMO
Kuna vyuo vingine nmeona yani watu wanakuja hadi na kandambili chuoni,
 
Back
Top Bottom