Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likiisha wanatia hurumaUmesahau kitu ..ukipata boom akikisha unaweka heshima
Kweli bro hata hiki cha TIA KurasiniKuna vyuo vingine nmeona yani watu wanakuja hadi na kandambili chuoni,
Hahahaha! Nailed it!Likiisha wanatia huruma
Nilisoma kilikuwa kinaitwa Mwuce dahNimesoma pale mwecau wala sijawahi kushoboka na wanachuo
Sema binadamu tumeumbwa wa kipekee sana na preference tofauti tofauti.
MÊmENtO HoMO
Yeap sasa hivi wanajiita mwecau
Hauwezi ukafanya kila kitu cha ujana. Yaaani mademu, pombe, bangi, sigara, drugs/cocaine, wizi.....Hakuna mtu naweza kufanya hayo ili asiye kujifunza ukubwani.Maisha ya chuoni sio kuchukulia serious sana uwe mtu wa kusoma tu kila muda mkuu, utapitwa na vingi ukaja kutia aibu ukijifunzia ukubwani baada ya kumaliza chuo, Muhimu kubalance tu
Halafu watu wanashangaa bunge kutaka kuongeza umri wa maprofesa kustaafu kutoka miaka 65 kwenda infinity. We kama wasomi ndio hawa unategemea kupata lekchara/daktari/mwanasheria/injinia wa maana hapo kweli?Kama graduate akili zenyewe ndo hizi...endeleeni kusota
Hapana kabisa.Halafu watu wanashangaa bunge kutaka kuongeza umri wa maprofesa kustaafu kutoka miaka 65 kwenda infinity. We kama wasomi ndio hawa unategemea kupata lekchara/daktari/mwanasheria/injinia wa maana hapo kweli?
Naona unaongea kama unakichaa flani ivi, tangu lini wizi ni starehe aiseeHauwezi ukafanya kila kitu cha ujana. Yaaani mademu, pombe, bangi, sigara, drugs/cocaine, wizi.....Hakuna mtu naweza kufanya hayo ili asiye kujifunza ukubwani.
Kila mmoja ni mshamba eneo lake. Ukijiona mjanja wa mademu, wengine wanakuona mshamba wa kuvuta bangi.
Wa muhas hawapo hvyo [emoji23]Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.
Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi.
Mabinti wengi wa vyuoni huwa wana miaka 18 hadi 23, huu umri wengi bado akili hzijakomaa ukilinganisha na dada zao,
Ni vitu vidogo vidogo tu vinawazuzua.
1. Vaa vizuri (sio kawaida au vibaya) hakikisha kwenye 3 bora za wanaovaa vizuri na kupendeza uwemo, pangilia mavazi yako vizuri, uwe unavaa kupendeza sio kuvaa tu ilimradi, achana na mavazi ya kisela, Binafsi Nakumbuka enzi hizo nlikuwa napndelea suti, vizibao, moka, n.k hakikisha upo next level
2. Kuwa msafi, hakikisha unanyoa nywele kwa wakati, unazichana fresh, ndevu ziweke fresh, n.k
3. Piga zoezi - Beba vyuma, fanya situps, pushups, n.k ujae jae kimtindo kifua, mabega na mikono,
Nakwambia ukifanya haya utashangaa mwenyewe, hizi message za hi na goodnight kutoka namba usizojua utazichoka, Kukataliwa ni ngumu sana ukirusha ndoano
MUHIMU: Usisahau kupiga kitabu - Kumbuka upo chuo kwahio jaribu kubalance kilichokupeleka na maisha yako nje ya kilichokupeleka, maana huwezi ukawa unasoma tu muda wote huta enjoy chuo na huwezi ukawa umepuuza kilichokupeleka chuo maana itakugharimu, kwa hio piga 50/50.
Dah suti vizibao afu umebeba madaftari ndo unajiona ulikuwa unapiga pamba?Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.
Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi.
Mabinti wengi wa vyuoni huwa wana miaka 18 hadi 23, huu umri wengi bado akili hzijakomaa ukilinganisha na dada zao,
Ni vitu vidogo vidogo tu vinawazuzua.
1. Vaa vizuri (sio kawaida au vibaya) hakikisha kwenye 3 bora za wanaovaa vizuri na kupendeza uwemo, pangilia mavazi yako vizuri, uwe unavaa kupendeza sio kuvaa tu ilimradi, achana na mavazi ya kisela, Binafsi Nakumbuka enzi hizo nlikuwa napndelea suti, vizibao, moka, n.k hakikisha upo next level
2. Kuwa msafi, hakikisha unanyoa nywele kwa wakati, unazichana fresh, ndevu ziweke fresh, n.k
3. Piga zoezi - Beba vyuma, fanya situps, pushups, n.k ujae jae kimtindo kifua, mabega na mikono,
Nakwambia ukifanya haya utashangaa mwenyewe, hizi message za hi na goodnight kutoka namba usizojua utazichoka, Kukataliwa ni ngumu sana ukirusha ndoano
MUHIMU: Usisahau kupiga kitabu - Kumbuka upo chuo kwahio jaribu kubalance kilichokupeleka na maisha yako nje ya kilichokupeleka, maana huwezi ukawa unasoma tu muda wote huta enjoy chuo na huwezi ukawa umepuuza kilichokupeleka chuo maana itakugharimu, kwa hio piga 50/50.
Wa MUHAS wapoje?Wa muhas hawapo hvyo [emoji23]
Kweli ujana maji ya moto,yani mpaka Chuma,sittups na pushups,kisa upate wadada wa kufanya nao zinaa?ndio maana nilikutana na bwana mmoja akaniambia kuwa ukiwa kijana ukiamua kumtukuza Mungu kwa kutokufanya maovu,pointi zake mbinguni ni nyingi kuliko ukiacha maovu ukiwa mzee...Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.