TBT nikiwa chuoni: Vijana wadogo, hakuna Msichana mgumu wala usinunue dawa za mvuto...

Umesahau kipengele muhimu sana, kuwa katika Top 3 ya vijana wenye pesa au hustlers! Wapo machizi ni hustlers toka chuo hao huwa mademu wanajigongaga kwao daily!
 
Vijana naona wanapewa mbinu za kuzidi kula kimasihara
 
Maisha ya chuoni sio kuchukulia serious sana uwe mtu wa kusoma tu kila muda mkuu, utapitwa na vingi ukaja kutia aibu ukijifunzia ukubwani baada ya kumaliza chuo, Muhimu kubalance tu
Hauwezi ukafanya kila kitu cha ujana. Yaaani mademu, pombe, bangi, sigara, drugs/cocaine, wizi.....Hakuna mtu naweza kufanya hayo ili asiye kujifunza ukubwani.

Kila mmoja ni mshamba eneo lake. Ukijiona mjanja wa mademu, wengine wanakuona mshamba wa kuvuta bangi.
 
Kama graduate akili zenyewe ndo hizi...endeleeni kusota
Halafu watu wanashangaa bunge kutaka kuongeza umri wa maprofesa kustaafu kutoka miaka 65 kwenda infinity. We kama wasomi ndio hawa unategemea kupata lekchara/daktari/mwanasheria/injinia wa maana hapo kweli?
 
Halafu watu wanashangaa bunge kutaka kuongeza umri wa maprofesa kustaafu kutoka miaka 65 kwenda infinity. We kama wasomi ndio hawa unategemea kupata lekchara/daktari/mwanasheria/injinia wa maana hapo kweli?
Hapana kabisa.
Wanatia aibu
 
Naona unaongea kama unakichaa flani ivi, tangu lini wizi ni starehe aisee
 
Wa muhas hawapo hvyo [emoji23]
 
Dah suti vizibao afu umebeba madaftari ndo unajiona ulikuwa unapiga pamba?
 
Reactions: Cyb
Binafsi sio mwanachuo, na najua sio sifa njema.

Ila kiukweli nawaburuza saana wanafunzi wa udsm. Mungu anilinde na magonjwa.

Per day nakusanya number za simu 10.. kati yao badi wanaopokea simu 8, watakaotii promise ni 6 nitakaokutana nao 4 na nitakaowaburuza ni wa3... Na km sina kazi iyo ni shughuli ya siku 3 tu....


Very simple.. hit and run.
Sound nyiiingi sambamba na mali kauli.
 
Kweli ujana maji ya moto,yani mpaka Chuma,sittups na pushups,kisa upate wadada wa kufanya nao zinaa?ndio maana nilikutana na bwana mmoja akaniambia kuwa ukiwa kijana ukiamua kumtukuza Mungu kwa kutokufanya maovu,pointi zake mbinguni ni nyingi kuliko ukiacha maovu ukiwa mzee...
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…