TBT: Tundu Lissu aelezea Meseji za Ben Saanane za vitisho

Nashangaa hakuna aliyekamatwa wakati namba za simu ziliwekwa wazi. Pia humu JF aliwahi tishiwa kumezwa na "chatu" akiendelea kumkosoa JPM ila hakuna aliyekamatwa hadi leo. Cha ajabu Kabendera aliposema kuwa JPM alihusika ndio kelele zimekua nyingi.

Serikali iwe inachukua hatua ili kupunguza speculations za uhusika wake.
 
🐼

Unadhani sms haiwezi Kutoka Chamani hapo hapo Kwa Mawakala?

Nauliza tu kupitia mafunzo ya yale Makaratasi ya Yeriko
 
Nashangaa hakuna aliyekamatwa wakati namba za simu ziliwekwa wazi. Pia humu JF aliwahi tishiwa kumezwa na "chatu" akiendelea kumkosoa JPM ila hakuna aliyekamatwa hadi leo. Cha ajabu Kabendera aliposema kuwa JPM alihusika ndio kelele zimekua nyingi.

Serikali iwe inachukua hatua ili kupunguza speculations za uhusika wake.
 
Duuh

1000063732.png
 
Back
Top Bottom