Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.
Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.
likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.
ngu