Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

1599484474749.png
ngu
 
Whatever lililo rohoni mwako, dhamira ya andiko lako, hasi au chanya, usafiri wa ndege kwa Lisu siungi mkono. Ya Filikunjombe bado yako kwenye memory!

Ila kama ni ya viatilifu/utafiti, watafiti siyo watu? mbona ina several seats?
 
Ushauri mzuri sana huu.kwanza ndege gani inatumia mafuta ya taa!

Kweli Chadema mnacheza na uhai wa mgombea wenu wa Urais kwa kumpandisha ndege inayotumia mafuta ya taa?
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu,

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa

View attachment 1561744ngu

Acha 'Uzushi' na kutaka 'Kupotosha' Watu hapa. Hakuna Ndege ambayo 'inatengenezwa' ili iwe tu Imara kwa Watu fulani au Jambo fulani tu. Kikubwa ni Uwezo wake wa Kuruka na Kusafiri na hayo mambo mengine sijui ya Ajali au Kuanguka ni Majaliwa yake Maulana / Mola pekee. Mbona hata hiyo Ndege ambayo anaitumia Rais Dkt. Magufuli na yenyewe pia siyo kwamba iko Imara kivile na wala hujashangaa au kuhoji?

Kitu kingine kikubwa usichokijua na nimesikitika kwamba pamoja na 'Usomi' wako kimekushinda Kuking'amua ( Kukijua ) tu ni kwamba ukiona Ndege yoyote inaruka katika Anga la Tanzania jua ya kwamba tayari imesharuhusiwa na hadi Kuthibitishwa Kwake 'Kiusalama' na hawa Watu wako wa TCCA uliowataja hapa. Nakuomba jikite sana katika Kusoma baadhi ya Mambo ili uelewa wako uwe mkubwa kabla ya kuja hapa.

Labda nimalizie tu kwa kusema kuwa nilichokigundua katika haya Maelezo yako hapa ni dhahiri shahiri kuwa Wewe utakuwa ni upande wa wale 'Wabaya' wake Lissu hivyo hapa unataka 'Kutuzuga' ili mipango yenu ya 'Kumuhujumu' labda kwa 'Kuidungua' au Kucheza nayo 'Kimfumo' ili iwe na 'hitilafu' ianguke na 'Imuue' huyu Mtanzania Mwenzetu itimie. Mimi ni CCM 'dam dam' ila Mungu 'atamlinda' Tundu Lissu.

Kwahiyo Wewe ulidhani kuwa 'Campaign Team' ya Tundu Lissu yenyewe haiko 'Security Conscious' kama Ulivyo basi Wao wanajiendea hovyo tu?
 
Hiyo scraper is image kupaaa si watumie ungo wa kienyeji kuliko kufanya mzaha wa maisha ya mgombea aliyeshindwa tayari
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu

Nani amempa hiyo ndege
 
Labda mnapanga kumwekea bomu hamtafanikiwa.

Ajali ni ajali tu mashirika kibao yanadondosha ndege ije iwe kuwa hapa?

Vip filikunjombe ilikuwa mbovu aliyopanda?

Mungu atamlinda Tundu Lissu mpaka mwisho.
Helicopter ya filikunjombe ilishazuiliwa kuruka Kenya kwa ubovu ikaletwa kwetu kiujanjaujanja, ndio Nasema usijekuta na hii ndio walewale, Ni Bora kuchukua tahadhari
 
Acha 'Uzushi' na kutaka 'Kupotosha' Watu hapa. Hakuna Ndege ambayo 'inatengenezwa' ili iwe tu Imara kwa Watu fulani au Jambo fulani tu. Kikubwa ni Uwezo wake wa Kuruka na Kusafiri na hayo mambo mengine sijui ya Ajali au Kuanguka ni Majaliwa yake Maulana / Mola pekee. Mbona hata hiyo Ndege ambayo anaitumia Rais Dkt. Magufuli na yenyewe pia siyo kwamba iko Imara kivile na wala hujashangaa au kuhoji?

Kitu kingine kikubwa usichokijua na nimesikitika kwamba pamoja na 'Usomi' wako kimekushinda Kuking'amua ( Kukijua ) tu ni kwamba ukiona Ndege yoyote inaruka katika Anga la Tanzania jua ya kwamba tayari imesharuhusiwa na hadi Kuthibitishwa Kwake 'Kiusalama' na hawa Watu wako wa TCCA uliowataja hapa. Nakuomba jikite sana katika Kusoma baadhi ya Mambo ili uelewa wako uwe mkubwa kabla ya kuja hapa.

Labda nimalizie tu kwa kusema kuwa nilichokigundua katika haya Maelezo yako hapa ni dhahiri shahiri kuwa Wewe utakuwa ni upande wa wale 'Wabaya' wake Lissu hivyo hapa unataka 'Kutuzuga' ili mipango yenu ya 'Kumuhujumu' labda kwa 'Kuidungua' au Kucheza nayo 'Kimfumo' ili iwe na 'hitilafu' ianguke na 'Imuue' huyu Mtanzania Mwenzetu itimie. Mimi ni CCM 'dam dam' ila Mungu 'atamlinda' Tundu Lissu.

Kwahiyo Wewe ulidhani kuwa 'Campaign Team' ya Tundu Lissu yenyewe haiko 'Security Conscious' kama Ulivyo basi Wao wanajiendea hovyo tu?
Mid siombei mabaya ukweli hii ndege inafanana kabisa na iliyomuua mtoto wa mabeyo usijekuta na hii Ni mbovu
 
Kwani CDF Mabeyo na Yeye alipenda Mwanae tena 'Kipenzi' kabisa kama aliyekufa yamtokee na ile Ndege? Ajali ya Ndege haijalishi 'Uimara' wake.
 
Back
Top Bottom