NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Najua,,ila nawavuluga tu.Mkuu Nawatafuna ndege zote zinatumia mafuta ya ya taa hata dream liner ! Tofauti ni tuu yamechujwa ipasavyo ndio huitwa Jet A-1 kwa ndege kubwa zipaazo juu zaidi futi 10000 toka usawa wa bahati na AVGAS kwa vindege vidogo kama atumiacho Lisu