Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Mkuu Nawatafuna ndege zote zinatumia mafuta ya ya taa hata dream liner ! Tofauti ni tuu yamechujwa ipasavyo ndio huitwa Jet A-1 kwa ndege kubwa zipaazo juu zaidi futi 10000 toka usawa wa bahati na AVGAS kwa vindege vidogo kama atumiacho Lisu
Najua,,ila nawavuluga tu.
 
Ushauri mzuri sana huu.kwanza ndege gani inatumia mafuta ya taa!

Kweli Chadema mnacheza na uhai wa mgombea wenu wa Urais kwa kumpandisha ndege inayotumia mafuta ya taa?

Kwan bombadia zile turbo prop zinatumia wese gani....dreamlaina je ,, zote ni mithili hiyo
 
Back
Top Bottom