Lissu ni kiboko ya uchafuKampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?
Lissu rais chaguo la Mungu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.
Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu,
likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa
View attachment 1561744ngu
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.
Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.
likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.
View attachment 1561744ngu
Helicopter ya filikunjombe ilishazuiliwa kuruka Kenya kwa ubovu ikaletwa kwetu kiujanjaujanja, ndio Nasema usijekuta na hii ndio walewale, Ni Bora kuchukua tahadhariLabda mnapanga kumwekea bomu hamtafanikiwa.
Ajali ni ajali tu mashirika kibao yanadondosha ndege ije iwe kuwa hapa?
Vip filikunjombe ilikuwa mbovu aliyopanda?
Mungu atamlinda Tundu Lissu mpaka mwisho.
Ni Jambo jema ndio maana tunasema akamilishe kampeni akiwa salamaKampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?
Lissu rais chaguo la Mungu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Si jambo dogo uwepo wa mtu mmoja kuzaa ajira zote hizoKampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?
Lissu rais chaguo la Mungu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mid siombei mabaya ukweli hii ndege inafanana kabisa na iliyomuua mtoto wa mabeyo usijekuta na hii Ni mbovuAcha 'Uzushi' na kutaka 'Kupotosha' Watu hapa. Hakuna Ndege ambayo 'inatengenezwa' ili iwe tu Imara kwa Watu fulani au Jambo fulani tu. Kikubwa ni Uwezo wake wa Kuruka na Kusafiri na hayo mambo mengine sijui ya Ajali au Kuanguka ni Majaliwa yake Maulana / Mola pekee. Mbona hata hiyo Ndege ambayo anaitumia Rais Dkt. Magufuli na yenyewe pia siyo kwamba iko Imara kivile na wala hujashangaa au kuhoji?
Kitu kingine kikubwa usichokijua na nimesikitika kwamba pamoja na 'Usomi' wako kimekushinda Kuking'amua ( Kukijua ) tu ni kwamba ukiona Ndege yoyote inaruka katika Anga la Tanzania jua ya kwamba tayari imesharuhusiwa na hadi Kuthibitishwa Kwake 'Kiusalama' na hawa Watu wako wa TCCA uliowataja hapa. Nakuomba jikite sana katika Kusoma baadhi ya Mambo ili uelewa wako uwe mkubwa kabla ya kuja hapa.
Labda nimalizie tu kwa kusema kuwa nilichokigundua katika haya Maelezo yako hapa ni dhahiri shahiri kuwa Wewe utakuwa ni upande wa wale 'Wabaya' wake Lissu hivyo hapa unataka 'Kutuzuga' ili mipango yenu ya 'Kumuhujumu' labda kwa 'Kuidungua' au Kucheza nayo 'Kimfumo' ili iwe na 'hitilafu' ianguke na 'Imuue' huyu Mtanzania Mwenzetu itimie. Mimi ni CCM 'dam dam' ila Mungu 'atamlinda' Tundu Lissu.
Kwahiyo Wewe ulidhani kuwa 'Campaign Team' ya Tundu Lissu yenyewe haiko 'Security Conscious' kama Ulivyo basi Wao wanajiendea hovyo tu?
Mid siombei mabaya ukweli hii ndege inafanana kabisa na iliyomuua mtoto wa mabeyo usijekuta na hii Ni mbovu
Tumpe muda kisimu chake cha Tecno y3,kitakata ringiWeee jamaa naona umerudi kwa kasi Sana na comment zako mufilisi