Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Ushauri uliotolewa siyo wa kubeza. Uchunguzi wa ndege hii ufanyike haraka.
 
Kwani CDF Mabeyo na Yeye alipenda Mwanae tena 'Kipenzi' kabisa kama aliyekufa yamtokee na ile Ndege? Ajali ya Ndege haijalishi 'Uimara' wake.
Ndio maana nimestuka Sana kuona na Lissu anatumia mkangafu uleule
 
Hakuna usafiri siupendi kama ndege
Rais wako mpendwa amekununulia madege ili nawe usafiri kwa ndege toka Chato, uwanja ukikamilika, mpaka Dodoma uwanja ukikamilika, ukienda Ikulu kumsalimia, ujenzi ukikamilika. Safari njema kabla ya Uchaguzi.
 
Kampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?

Lissu rais chaguo la Mungu.
Sisi hatuhitaji kujua chaguo la nani, kikubwa aache ubaghili akodi ndege za maana, hamkawii kuitangazia dunia ametegewa bomu na JPM ili kuipaka matope nchi yetu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: nao
wewe ni mtaalamu wa ndege ,unajua ndege kabla ya kuruka inakaguliwa au unafikiri ndege ni toroli
 
Hivi kweli Lisu anaona Chadema wanampenda Sana hadi kumpa nafasi ya kugombea uraisi? Kwa huo usafiri waliomuunganishia ajiongeze

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Chadema wanatumika sana kwenda negative na hii nchi.

1.
Iwapo Hii ndege ni ya geological survey, hivyo inachukua picha kila inapopita. Nani anarekodi hizi picha na kwa minajili gani?

2.
Kama ni ndege yenya ukuu kuu kiusalama, je lolote baya likitokea nani atanyooshewa kidole?

3.
Nani mmiliki wa hii ndege?


Serikali inajali watu wake bila kujali vyama. Wamsaidie huyu mbeligiji asije kusema walinikosa kwenye shaba sasa wananiandama kwenye ndege....
 
wewe ni mtaalamu wa ndege ,unajua ndege kabla ya kuruka inakaguliwa au unafikiri ndege ni toroli
Mbona ya filikunjombe ilishazuiliwa kuruka Kenya ikaletwa kwetu na ikaua watu
 
Hii hoja ina ukweli, maana juzi alisingizia watu wamefungua nati ili afe.
 
Kampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?

Lissu rais chaguo la Mungu.

Hii nyundo hatari sana...

Sijui umefikiria ni kuitumia hii kuwajibu hawa LB7...

Hapa umefunga domo na vidole vya roboti moja linaloitwa Bia yetu na mwenzake Etwege...

Ri - roboti lililo zamu kwa sasa ni Bia yetu. Naona huwa wanapokezana kijiti na Etwege ambaye kwa sasa yuko likizo ya Corona Tandahimba, Mtwara...
 
kabisa, nasikia kwanza ni spana mkononi inatembea inadondosha nati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…