Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Ushauri uliotolewa siyo wa kubeza. Uchunguzi wa ndege hii ufanyike haraka.
 
Kwani CDF Mabeyo na Yeye alipenda Mwanae tena 'Kipenzi' kabisa kama aliyekufa yamtokee na ile Ndege? Ajali ya Ndege haijalishi 'Uimara' wake.
Ndio maana nimestuka Sana kuona na Lissu anatumia mkangafu uleule
 
Hakuna usafiri siupendi kama ndege
Rais wako mpendwa amekununulia madege ili nawe usafiri kwa ndege toka Chato, uwanja ukikamilika, mpaka Dodoma uwanja ukikamilika, ukienda Ikulu kumsalimia, ujenzi ukikamilika. Safari njema kabla ya Uchaguzi.
 
Kampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?

Lissu rais chaguo la Mungu.
Sisi hatuhitaji kujua chaguo la nani, kikubwa aache ubaghili akodi ndege za maana, hamkawii kuitangazia dunia ametegewa bomu na JPM ili kuipaka matope nchi yetu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
wewe ni mtaalamu wa ndege ,unajua ndege kabla ya kuruka inakaguliwa au unafikiri ndege ni toroli
 
Hivi kweli Lisu anaona Chadema wanampenda Sana hadi kumpa nafasi ya kugombea uraisi? Kwa huo usafiri waliomuunganishia ajiongeze

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
Chadema wanatumika sana kwenda negative na hii nchi.

1.
Iwapo Hii ndege ni ya geological survey, hivyo inachukua picha kila inapopita. Nani anarekodi hizi picha na kwa minajili gani?

2.
Kama ni ndege yenya ukuu kuu kiusalama, je lolote baya likitokea nani atanyooshewa kidole?

3.
Nani mmiliki wa hii ndege?

Serikali inajali watu wake bila kujali vyama. Wamsaidie huyu mbeligiji asije kusema walinikosa kwenye shaba sasa wananiandama kwenye ndege....
 
wewe ni mtaalamu wa ndege ,unajua ndege kabla ya kuruka inakaguliwa au unafikiri ndege ni toroli
Mbona ya filikunjombe ilishazuiliwa kuruka Kenya ikaletwa kwetu na ikaua watu
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
Hii hoja ina ukweli, maana juzi alisingizia watu wamefungua nati ili afe.
 
Kampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?

Lissu rais chaguo la Mungu.

Hii nyundo hatari sana...

Sijui umefikiria ni kuitumia hii kuwajibu hawa LB7...

Hapa umefunga domo na vidole vya roboti moja linaloitwa Bia yetu na mwenzake Etwege...

Ri - roboti lililo zamu kwa sasa ni Bia yetu. Naona huwa wanapokezana kijiti na Etwege ambaye kwa sasa yuko likizo ya Corona Tandahimba, Mtwara...
 
Si chadema tu, hata mabeberu nao wanaweza kuidondosha wakatumia kifo cha Lissu kwa ajili ya kuletata propoganda za uchochezi na vurugu nchini. Lissu mwenyewe anaitumia ndege hiyochakafu kuleta propoganda za uchochezi.

Wewe unatumia ndege kuukuu halafu unasena uko mpango wa kuidondosha ili ikidondoka kwa ubovu watu waseme alisha tahadharisha. Kama serikali iko makini waone jinsi ya kuangalia ubora wa hiyo ndege. Vinginevo likitokea la kutokea itakuwa ni taabu kubwa.
kabisa, nasikia kwanza ni spana mkononi inatembea inadondosha nati
 
Back
Top Bottom