Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Ushauri uliotolewa siyo wa kubeza. Uchunguzi wa ndege hii ufanyike haraka.
Kwani huelewi lengo la mleta mada ?!. Huyo ni kada bobezi linataka kulemaza campaign ya TAL . Hata hivyo ndege haifai bora helicopter au msafara mdogo wa magari
 
Mkuu inabidi upimwe mkojo.
 
Mgombea asiyetaka serikali inunue ndege halafu muda huo huo anapanda ndege.
 
Whatever lililo rohoni mwako, dhamira ya andiko lako, hasi au chanya, usafiri wa ndege kwa Lisu siungi mkono. Ya Filikunjombe bado yako kwenye memory!

Ila kama ni ya viatilifu/utafiti, watafiti siyo watu? mbona ina several seats?

Mimi mwenyewe sina imani na usafiri anaokomaa nao sasa. Sijui nani amemshauri? Akitoka Zanzibar basi atulie tu kwa muda (kupumzika).. halafu atumie magari. Kwa nini hajakumbuka ya Filikunjombe? Why is he risking his life to this extent? Kama kashapata fununu, haisaidii kuzisema hadharani, watafanya tu udhalimu wao wakitaka. Amesahau alivyokuwa anatoa taarifa za kudhuriwa kwake kipindi cha miaka 2016, 2017.. ila ilasaidia nini? Si alipigwa tu risasi bado? Kutaja njama zao si kinga. Aachane na usafiri huo wa ndege bwana.
 
Huwezi kupona risasi zote zile kama sio mpango wa Mungu.

Kuna kitu Mungu anataka akifanye kupitia huyu ndugu kwa ajili ya nchi yetu. Believe it or not! Whether you like it or not! Time will tell.



JESUS IS LORD!!!!
 
Mnaanza kutuandaa kisaikolojia baada ya kuona mgombea wenu amechanganyikiwa na kuanza kutukana wapiga kura huku aki confess uovu aliowafanyia kwa miaka mitano kitu ambacho hata nyinyi misukule wake mmeshangaa msijue jinsi ya kumsaidia kilaza wenu. Naona mnaanza kubuni plan B kumuua lisu baada ya kuogopa sanduku la kura. Mungu yupo upande wa Lisu nyie mpo upande iblis sheetwan Lucifer
 
Kama hata ofisi bado wanapanga ushauri wako utasaidia nini na unajua jamaa hawaminiki .ukiwachangia Mbowe atazimeza zote
 
Chukueni ushauri acheni ubishii ilendege ni mkweche wa hali ya juuu, au ndo mnataka litokee jambo baya halafu iwe kiki kwenu? Hivi mtaishiwa lini na KIKI zenu enyi chadema?
 
Kampeni za Lissu zimezaa ajira 13000 kwa walimu je akiwa rais zirapatikana ajira ngapi?
Huku kanda ya ziwa Lissu aliposema wakulima wa pamba wamekopwa na na akiingia huo upuuzi utakomeshwa ndani ya siku tatu wakulima wakaanza kulipwa na akati pamba ni ya 2018 HAKIKA #NIYEYE 2020 maana asingesemea hili sijui kama wakulima wangelipwa
 
Whatever lililo rohoni mwako, dhamira ya andiko lako, hasi au chanya, usafiri wa ndege kwa Lisu siungi mkono. Ya Filikunjombe bado yako kwenye memory!

Ila kama ni ya viatilifu/utafiti, watafiti siyo watu? mbona ina several seats?

Mtoa hoja inawezekana anajia mengi tahadhari ichukuliwe
 
Huku kanda ya ziwa Lissu aliposema wakulima wa pamba wamekopwa na na akiingia huo upuuzi utakomeshwa ndani ya siku tatu wakulima wakaanza kulipwa na akati pamba ni ya 2018 HAKIKA #NIYEYE 2020 maana asingesemea hili sijui kama wakulima wangelipwa
Lissu ni noma
 
Mkuu Gentamycine, umeongea points leo ambazo zimenifurahisha kwa kweli.
 
Rais wako mpendwa amekununulia madege ili nawe usafiri kwa ndege toka Chato, uwanja ukikamilika, mpaka Dodoma uwanja ukikamilika, ukienda Ikulu kumsalimia, ujenzi ukikamilika. Safari njema kabla ya Uchaguzi.
magufuli mitano tena
 
Yaani kiuhalisia wewe mwanachama was CCM na si mshabiki wa CCM. Unachambua vitu na unasimama kwenye uhalisia
 
Ushauri mzuri sana huu.kwanza ndege gani inatumia mafuta ya taa!

Kweli Chadema mnacheza na uhai wa mgombea wenu wa Urais kwa kumpandisha ndege inayotumia mafuta ya taa?
Mkuu Nawatafuna ndege zote zinatumia mafuta ya ya taa hata dream liner ! Tofauti ni tuu yamechujwa ipasavyo ndio huitwa Jet A-1 kwa ndege kubwa zipaazo juu zaidi futi 10000 toka usawa wa bahati na AVGAS kwa vindege vidogo kama atumiacho Lisu
 
Watu wenye hekima kama yako wanahitajika sana dunia hii. Naafiki hoja yako kwa asilimia zote kwamba hii ndege wambadilishie haraka iwezekanavyo, kama kuna uwezekano huo. Wanampaje ndege ambayo hadi watu ambao siyo wataalamu, wanaanza ku-doubt ubora wake? Tafadhali tunaomba ndgege hii abadilishiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…