NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Sep 8, 2020 #81 Waminepo said: Mkuu Nawatafuna ndege zote zinatumia mafuta ya ya taa hata dream liner ! Tofauti ni tuu yamechujwa ipasavyo ndio huitwa Jet A-1 kwa ndege kubwa zipaazo juu zaidi futi 10000 toka usawa wa bahati na AVGAS kwa vindege vidogo kama atumiacho Lisu Click to expand... Najua,,ila nawavuluga tu.
Waminepo said: Mkuu Nawatafuna ndege zote zinatumia mafuta ya ya taa hata dream liner ! Tofauti ni tuu yamechujwa ipasavyo ndio huitwa Jet A-1 kwa ndege kubwa zipaazo juu zaidi futi 10000 toka usawa wa bahati na AVGAS kwa vindege vidogo kama atumiacho Lisu Click to expand... Najua,,ila nawavuluga tu.
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Sep 10, 2020 #82 NAWATAFUNA said: Ushauri mzuri sana huu.kwanza ndege gani inatumia mafuta ya taa! Kweli Chadema mnacheza na uhai wa mgombea wenu wa Urais kwa kumpandisha ndege inayotumia mafuta ya taa? Click to expand... Kwan bombadia zile turbo prop zinatumia wese gani....dreamlaina je ,, zote ni mithili hiyo
NAWATAFUNA said: Ushauri mzuri sana huu.kwanza ndege gani inatumia mafuta ya taa! Kweli Chadema mnacheza na uhai wa mgombea wenu wa Urais kwa kumpandisha ndege inayotumia mafuta ya taa? Click to expand... Kwan bombadia zile turbo prop zinatumia wese gani....dreamlaina je ,, zote ni mithili hiyo
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Sep 10, 2020 #83 Lutandagula said: Inahusiana nini na hiyo Thread,tatizo la kuishia la saba E Click to expand... Cha msingi ujumbe na umeupata
Lutandagula said: Inahusiana nini na hiyo Thread,tatizo la kuishia la saba E Click to expand... Cha msingi ujumbe na umeupata