Uchaguzi 2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

Acheni wivu nyie, tumevuka level moja kutoka helkopta sasa ndege na hampendi jambo hili mnataka kuizuia?
Mnaluka na ndege za mafuta ya taa angani mnapita vijiji vingi vyenye wapiga kura,hivi mnadhani kuchukua nchi ni lelemama?
 
Acheni wivu nyie, tumevuka level moja kutoka helkopta sasa ndege na hampendi jambo hili mnataka kuizuia?
kwanza deni la ndesamburo mlishalipa? nasikia alikufa kwa presha wakati akizozana na lema juu ya madai yake
 
Mwache billionea Ndesa hakuwa na shida na vijisenti amelala pazuri kuliko hata Nyerere.
1599492240045.png
 
Kwa hiyo unatuandaa kisaikolojia ,ili mipango yenu ikifanikiwa uje tena hapa kusema ulishazungumzia kuhusu hili jambo.
 
Acha 'Uzushi' na kutaka 'Kupotosha' Watu hapa. Hakuna Ndege ambayo 'inatengenezwa' ili iwe tu Imara kwa Watu fulani au Jambo fulani tu. Kikubwa ni Uwezo wake wa Kuruka na Kusafiri na hayo mambo mengine sijui ya Ajali au Kuanguka ni Majaliwa yake Maulana / Mola pekee. Mbona hata hiyo Ndege ambayo anaitumia Rais Dkt. Magufuli na yenyewe pia siyo kwamba iko Imara kivile na wala hujashangaa au kuhoji?

Kitu kingine kikubwa usichokijua na nimesikitika kwamba pamoja na 'Usomi' wako kimekushinda Kuking'amua ( Kukijua ) tu ni kwamba ukiona Ndege yoyote inaruka katika Anga la Tanzania jua ya kwamba tayari imesharuhusiwa na hadi Kuthibitishwa Kwake 'Kiusalama' na hawa Watu wako wa TCCA uliowataja hapa. Nakuomba jikite sana katika Kusoma baadhi ya Mambo ili uelewa wako uwe mkubwa kabla ya kuja hapa.

Labda nimalizie tu kwa kusema kuwa nilichokigundua katika haya Maelezo yako hapa ni dhahiri shahiri kuwa Wewe utakuwa ni upande wa wale 'Wabaya' wake Lissu hivyo hapa unataka 'Kutuzuga' ili mipango yenu ya 'Kumuhujumu' labda kwa 'Kuidungua' au Kucheza nayo 'Kimfumo' ili iwe na 'hitilafu' ianguke na 'Imuue' huyu Mtanzania Mwenzetu itimie. Mimi ni CCM 'dam dam' ila Mungu 'atamlinda' Tundu Lissu.

Kwahiyo Wewe ulidhani kuwa 'Campaign Team' ya Tundu Lissu yenyewe haiko 'Security Conscious' kama Ulivyo basi Wao wanajiendea hovyo tu?
Hapa mheshimiwa una tetea vibaya, nimekuwa nikisoma article zako uko vizuri, lakini kwa hii nakukatalia. Ni stability ya ndege yoyote inategemea sana idadi ya engine, ndio maana hizi ndege zenye engine moja mara nyingi sana huwa zinaanguka. Hivyo naungana na mtoa mada Usalama ndege anayotumia Lissu ni mdogo sana.
 
kweli kabisa, hata Lissu ameshalalamika juu ya usalama wake, kama ulishasafiri na hizi ndege zenye engene moja utayajua maswahiba ya angani
 
Whatever lililo rohoni mwako, dhamira ya andiko lako, hasi au chanya, usafiri wa ndege kwa Lisu siungi mkono. Ya Filikunjombe bado yako kwenye memory!
Ila kama ni ya viatilifu/utafiti, watafiti siyo watu? mbona ina several seats?
Huwezi kuwaelewa chadema.
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
Katua kwenye kiwanja safi mikoani afu anadai miundo mbinu ndo impigie kura Magufuli! Hawa watu akili zao nahisi huwa za kuokota! Magu 5 tena.
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
kwahiyo wewe leo ndio mshauri wa CDM na Mamlaka ya anga....MATAGA tulieni tulieni kqmmk
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engene moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
Nani kamkodia hiyo ndege si ni chama chake? Kwanini wasikodi inayofaa zaidi?
 
Ushauri mzuri sana huu.kwanza ndege gani inatumia mafuta ya taa!!.
kweli Chadema mnacheza na uhai wa mgombea wenu wa Urais kwa kumpandisha ndege inayotumia mafuta ya taa?
Hivi unaona fahari kuandika ujinga? Au kwa vile mwenyekiti anaongea upoloto basi na nyie ni fahari kumuiga?
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
Ina maana imefika mahali sasa hivi TZ unaweza kurusha ndege unavyo taka kama tiara? Maana ninavyojua ndege ikiruka kwenye anga la TZ basi TCAA wameshahusika. Sasa sijui umetoa wapi hoja hii inayoonyesha kama vile TCAA hawajui chochote kuhusu ndege hiyo? Ama wasiojulikana ndio mmeanza kujitokeza ili mpange hujuma dhidi ya Lissu?
 
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.

Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio kusafirisha viongozi kama Lissu.

likitokea la kutokea hakawii kusingizia kafanyiwa njama ni bora ukafanyika uchunguzi kuangalia ubora wa hii ndege na kama kweli inastahili kupiga misele yote hii, tunataka aumalize huu mtanange akiwa salama ajue kashindwa kihalali kabisa.

View attachment 1561744ngu
Msije mkawa mnaanza chokochoko ili muilipue
 
Back
Top Bottom