We Kilaza hujasoma hayo maelezo kuwa CHADEMA walikua wanajua hivyo wakamuombea Exemption (Yaani msamaha/ruhusa ya kurusha ndege katika umri hu) Yaani ni CHADEMA ndiyo waliopeleka maombi na TCAA wakakataaa.
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
We nawe debe tupu above 65 mwili wa binadamu huanza kudhoofika ikiwemo kuwa na Usingizi sanaa it is a world standard hiyo ni retiment age japo tanzania ni 60 at 65 you cant think properlyNinakubaliana na TCCA, japo nitashukuru kama nao wakiniambia kuwa je, wana uhakika gani kuwa Rubani Kijana hatoweza Kuleta 'Madhara' pia?
mungu anakuona sana , na hakuna hubishi wa kitoto hapa , hiko hivi kuna mazingira yanatengenezewa wapinzani mpaka hata kile chenye logic kama kipo unaona ni mwenendo huo huo, kuna vitu vinafanyika ni vya haibu sana kwa nchi yetu, haki kwa wagomea iwe sawa , mpaka mda huu mungu katuepusha mengi, kwa sababu analipenda sana taifa hili kuliko yoyote chini ya anga hili, sie tu mavumbi tu , siku ya mwisho lazima kila mmoja wetu udongo utakua halali kwetu , haitajalisha ulikua nani, mzuri , mbaya tajiri au la but siku 92 tu utabaki na mifupatu, ila yote kwa yote tanzania itabaki itakuepo na itendelea kuwepo ,so basi yatubidi tenda haki , na hakuna sababu ya kumnyanyasa mwenzaka kisa umeshika mpini wa hapa na ambao ni wa mdatu,Unaleta ubishi wa kitoto. Hao wamiliki wote wa ndege na helikopta wanafanya biashara kwa kuheshimu kanuni hiyo kwanini leo ivunjwe kirahisi tu?.
Kavae kanga weweUkisoma taarifa ya CHADEMA utagundua kuna shida upande wao maana hawajasema huyo afisa wa TCAA aliwaambia nini hasa sababu ya kuzuiwa kwao.
CHADEMA wanatakiwa kuwa waungwana. Walianza siku ya kurudisha fomu wakadai wamefika mapema wamewekwa chumba cha kusubiria wakiwa hawajui nini kinaendelea, kumbe wakijua uhakiki wa wadhamini ulikuwa ukiendelea baada ya wao kutofuata taratibu za kuhakiki wadhamini wao wakati wakizunguka.
Fuateni taratibu na muache uhuni, nani atakabidhi nchi kwa wahuni, wazushi na wapotoshaji?
why watu mzungumzie eti ajali mara nii maana hata ikitoke kwa mpango wa mungu mtesema tulisema so chadema msichukue kampuni hiyona msisitizo wanguMkuu Haya umeyaandika ukiwa umekunywa pombe?
We jamaa ushabiki wa kisiasa umekuzidia, kiasi kwamba hata kwenye maswala ya kitaalam unataka kuleta siasa zako uchwara.Daaah🤔!Uzee sana unaanzia miaka mingapi? Tuanzie hapo.
Acha kujidharilisha. Kama hujui hujui kaa kimyaUzee sana unaanzia miaka mingapi? Tuanzie hapo.
Halafu wanamgombea Nguli wa sheria, bonge la boko hatariMaandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, hiyo sheria ipo na inatumika miaka yote kwa nini hamkuhoji? nani kawadanganya kwamba nyie ni special sana? sio nyie kila uchao mnalalamikia uvunjwaji wa sheria na vyombo, taasisi au watu kadhaa? wakifuata na kusimamia sheria pia ni kosa? hamjui hata mnataka nini, jiandaeni na 5% ya kura zote 28 October.
JPM anachana mikoa miwili kwa siku na anahutubia karibu kila kata, acheni uvivu, tembeeni barabarani muone kero za wananchi ili msijeropoka tena kwamba Magufuli anajenga miundombinu tu.
We jamaa ushabiki wa kisiasa umekuzidia, kiasi kwamba hata kwenye maswala ya kitaalam unataka kuleta siasa zako uchwara.Daaah🤔!
Watu wengine kwa kujitoa ufahamu, muulizeni huyo nguli wa sheria kama hiyo sheria IPO au haipo? Chama cha kufuata taratibu na mjibu wa sheria, mnazikataa hiyo sheria?Hamza analinda choo cha wanaye. Pole Sana bwana Hamza kwa kuuweka ubongo wako likizo na kuamua kutumia ule wa John mpk pale atakapokutengua.
Pambana na inferiority complex uliyonayo.mungu anakuona sana , na hakuna hubishi wa kitoto hapa , hiko hivi kuna mazingira yanatengenezewa wapinzani mpaka hata kile chenye logic kama kipo unaona ni mwenendo huo huo, kuna vitu vinafanyika ni vya haibu sana kwa nchi yetu, haki kwa wagomea iwe sawa , mpaka mda huu mungu katuepusha mengi, kwa sababu analipenda sana taifa hili kuliko yoyote chini ya anga hili, sie tu mavumbi tu , siku ya mwisho lazima kila mmoja wetu udongo utakua halali kwetu , haitajalisha ulikua nani, mzuri , mbaya tajiri au la but siku 92 tu utabaki na mifupatu, ila yote kwa yote tanzania itabaki itakuepo na itendelea kuwepo ,so basi yatubidi tenda haki , na hakuna sababu ya kumnyanyasa mwenzaka kisa umeshika mpini wa hapa na ambao ni wa mdatu,
Ni lazima muutafute mpira kwa tochi pamoja na kuwa na sheria kandamizi na kanuni zake. Hivi unafikiri Tanzania ni kisiwa kiasi kwamba hatuwezi kuona uovu wa chama tawala pamoja na hila za kikaragosi chake NEC.Wewe kichwa maji umeshindwa kusoma hata hiyo habari hapo juu sheria hairuhusu kutumia rubani mwenye umri wa zaidi ya miaka 65 ! Mlitaka mkaanguke ili msingizie CCM nyie wenye midomo mirefu
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
We una hadhi gani wewe?Kubishana na bavicha hii ya Lisu ni kujishushia hadhi
We Kilaza hizo baadhi ya Nchi zinakusaidia nini wakati tuna acha ufala
The Civil Aviation (Personnel Licensing) Regulations, 2017
View attachment 1565609