Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Kilaza Babaako na Mamaako ZWAZWA wewe!


We Kilaza hujasoma hayo maelezo kuwa CHADEMA walikua wanajua hivyo wakamuombea Exemption (Yaani msamaha/ruhusa ya kurusha ndege katika umri hu) Yaani ni CHADEMA ndiyo waliopeleka maombi na TCAA wakakataaa.
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?

Hii inaitwa "state organized plan" kumvuruga na kumharibia ratiba mshindani wa Magufuli ktk uchaguzi huu....

Kwenye "state organized plans", mgombea ambaye wakati huohuo anakuwa na mamlaka ya cheo kilekile kinachogombaniwa (cha Urais) anaweza kutumia taasisi za umma kumnufaisha yeye na kuwahujumu washindani wake...

TCAA ni taasisi ya umma na mtendaji wake ni mteule wa Rais Magufuli....

Hivi tunadhani kuwa Magufuli na watu wake hawezi kutoa amri ya kuwa atumie technicalities zozote za kisheria na kikanuni kumkwamisha mshindani hatari na tishio wa Jiwe?...

Jibu ni kuwa, inawezekana 100% na ndivyo ilivyofanyika na utetezi huu wa TCAA ulitegemewa na kila mtu mwenye akili timamu...!!

Lengo la hii yote ni kujaribu kumbeba na kumpa unafuu mgombea wa CCM...

Ushahidi ni kuwa mara baada ya kufanikiwa kuizuia helicopter kuruka in late ours, MATAGA fast fast walianza kutema ugoro wa propaganda zao kwenye mitandao ya kijamii kuwa mgombea Urais wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu ashindwa kuendelea na kampeni Leo

Wengine wakisema, akosa watu Bagamoyo, Chalinze na Mlandizi. Lakini ukweli ni kuwa, kampeni zimeendelea na nyomi ya watu wanaofika kwenye mikutano ya huyu jamaa kwa hiari yao, inajaa kama kawaida....

Kwa hiyo hatupaswi kuona ajabu bali ni kuhakikisha kuwa akili ya ziada inatumika kufanya counter attack kwa kila hujuma inayojitokeza ili kuhakikisha kuwa mgombea Tundu Lissu anabaki kuwa focused kwenye line of actions....!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ninakubaliana na TCCA, japo nitashukuru kama nao wakiniambia kuwa je, wana uhakika gani kuwa Rubani Kijana hatoweza Kuleta 'Madhara' pia?
We nawe debe tupu above 65 mwili wa binadamu huanza kudhoofika ikiwemo kuwa na Usingizi sanaa it is a world standard hiyo ni retiment age japo tanzania ni 60 at 65 you cant think properly
 
Unaleta ubishi wa kitoto. Hao wamiliki wote wa ndege na helikopta wanafanya biashara kwa kuheshimu kanuni hiyo kwanini leo ivunjwe kirahisi tu?.
mungu anakuona sana , na hakuna hubishi wa kitoto hapa , hiko hivi kuna mazingira yanatengenezewa wapinzani mpaka hata kile chenye logic kama kipo unaona ni mwenendo huo huo, kuna vitu vinafanyika ni vya haibu sana kwa nchi yetu, haki kwa wagomea iwe sawa , mpaka mda huu mungu katuepusha mengi, kwa sababu analipenda sana taifa hili kuliko yoyote chini ya anga hili, sie tu mavumbi tu , siku ya mwisho lazima kila mmoja wetu udongo utakua halali kwetu , haitajalisha ulikua nani, mzuri , mbaya tajiri au la but siku 92 tu utabaki na mifupatu, ila yote kwa yote tanzania itabaki itakuepo na itendelea kuwepo ,so basi yatubidi tenda haki , na hakuna sababu ya kumnyanyasa mwenzaka kisa umeshika mpini wa hapa na ambao ni wa mdatu,
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Mkuu BAK tumia busara na hekima kujibu kwa hoja.
 
Ukisoma taarifa ya CHADEMA utagundua kuna shida upande wao maana hawajasema huyo afisa wa TCAA aliwaambia nini hasa sababu ya kuzuiwa kwao.

CHADEMA wanatakiwa kuwa waungwana. Walianza siku ya kurudisha fomu wakadai wamefika mapema wamewekwa chumba cha kusubiria wakiwa hawajui nini kinaendelea, kumbe wakijua uhakiki wa wadhamini ulikuwa ukiendelea baada ya wao kutofuata taratibu za kuhakiki wadhamini wao wakati wakizunguka.

Fuateni taratibu na muache uhuni, nani atakabidhi nchi kwa wahuni, wazushi na wapotoshaji?
Kavae kanga wewe
 
Maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, hiyo sheria ipo na inatumika miaka yote kwa nini hamkuhoji? nani kawadanganya kwamba nyie ni special sana? sio nyie kila uchao mnalalamikia uvunjwaji wa sheria na vyombo, taasisi au watu kadhaa? wakifuata na kusimamia sheria pia ni kosa? hamjui hata mnataka nini, jiandaeni na 5% ya kura zote 28 October.

JPM anachana mikoa miwili kwa siku na anahutubia karibu kila kata, acheni uvivu, tembeeni barabarani muone kero za wananchi ili msijeropoka tena kwamba Magufuli anajenga miundombinu tu.
Halafu wanamgombea Nguli wa sheria, bonge la boko hatari
 
Kama CHADEMA ni wapotoshaji basi ni sawa,kumbe wanaweza hata sasa kutumia hiyo chopq bila shida yoyote?

Kama hawawezi kuitumia kwa kukosa kibali fulani cha mamlaka,basi hawa mamlaka ya usafiri wa anga ni TATIZO kubwa sana,wala sijui wamesikitishwa na nini.
 
Huu ni UFINYU wa akili, na mazwazwa na mimi mbali mbali.

We jamaa ushabiki wa kisiasa umekuzidia, kiasi kwamba hata kwenye maswala ya kitaalam unataka kuleta siasa zako uchwara.Daaah🤔!
 
Hamza analinda choo cha wanaye. Pole Sana bwana Hamza kwa kuuweka ubongo wako likizo na kuamua kutumia ule wa John mpk pale atakapokutengua.
Watu wengine kwa kujitoa ufahamu, muulizeni huyo nguli wa sheria kama hiyo sheria IPO au haipo? Chama cha kufuata taratibu na mjibu wa sheria, mnazikataa hiyo sheria?
 
mungu anakuona sana , na hakuna hubishi wa kitoto hapa , hiko hivi kuna mazingira yanatengenezewa wapinzani mpaka hata kile chenye logic kama kipo unaona ni mwenendo huo huo, kuna vitu vinafanyika ni vya haibu sana kwa nchi yetu, haki kwa wagomea iwe sawa , mpaka mda huu mungu katuepusha mengi, kwa sababu analipenda sana taifa hili kuliko yoyote chini ya anga hili, sie tu mavumbi tu , siku ya mwisho lazima kila mmoja wetu udongo utakua halali kwetu , haitajalisha ulikua nani, mzuri , mbaya tajiri au la but siku 92 tu utabaki na mifupatu, ila yote kwa yote tanzania itabaki itakuepo na itendelea kuwepo ,so basi yatubidi tenda haki , na hakuna sababu ya kumnyanyasa mwenzaka kisa umeshika mpini wa hapa na ambao ni wa mdatu,
Pambana na inferiority complex uliyonayo.
 
Wewe kichwa maji umeshindwa kusoma hata hiyo habari hapo juu sheria hairuhusu kutumia rubani mwenye umri wa zaidi ya miaka 65 ! Mlitaka mkaanguke ili msingizie CCM nyie wenye midomo mirefu
Ni lazima muutafute mpira kwa tochi pamoja na kuwa na sheria kandamizi na kanuni zake. Hivi unafikiri Tanzania ni kisiwa kiasi kwamba hatuwezi kuona uovu wa chama tawala pamoja na hila za kikaragosi chake NEC.
 
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.

We Kilaza hizo baadhi ya Nchi zinakusaidia nini wakati tuna acha ufala

The Civil Aviation (Personnel Licensing) Regulations, 2017
13D05F02-EA81-4F42-8E05-36223F07C35F.jpeg
 
Kubishana na bavicha hii ya Lisu ni kujishushia hadhi
We una hadhi gani wewe?

Ungekuwa na hadhi si ungekuwa inajibiwa na Lisu?

Mimi Kapuku na kujibu kapuku mwenzangu wala huna lolote,zaidi nenda kachukue buku saba zako mwanaizaya weye,mwana mtoka pabaya
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwahiyo kumbe ni kweli Chadema walizuiliwa. Alaf kuna mbuzi asubuh ilijiwah kuandika makala pombe humu eti ooh chadema wamekimbia mikutano yao
 
Back
Top Bottom