Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
why watu mzungumzie eti ajali mara nii maana hata ikitoke kwa mpango wa mungu mtesema tulisema so chadema msichukue kampuni hiyona msisitizo wangu
Ni kweli. Viongozi wa CHADEMA ni wa wahuni. Mgombea wao leo anadiriki kuambia wapiga kura kuwa uchazguzi wa mwaka huu ni kati yake Lissu na Magifuli Ama zake au zangu akisisitizaUkisoma taarifa ya CHADEMA utagundua kuna shida upande wao maana hawajasema huyo afisa wa TCAA aliwaambia nini hasa sababu ya kuzuiwa kwao.
CHADEMA wanatakiwa kuwa waungwana. Walianza siku ya kurudisha fomu wakadai wamefika mapema wamewekwa chumba cha kusubiria wakiwa hawajui nini kinaendelea, kumbe wakijua uhakiki wa wadhamini ulikuwa ukiendelea baada ya wao kutofuata taratibu za kuhakiki wadhamini wao wakati wakizunguka.
Fuateni taratibu na muache uhuni, nani atakabidhi nchi kwa wahuni, wazushi na wapotoshaji?
Halafu jamaa anaishi nje ya nchi hata kupiga kura hapigi.We jamaa ushabiki wa kisiasa umekuzidia, kiasi kwamba hata kwenye maswala ya kitaalam unataka kuleta siasa zako uchwara.Daaah🤔!
Sawa mkuu, wewe mwenye akili Endelea kubweka🗣 hapa jeiefu,ukipingana na Sheria na taratibu zilizowekwa tangu zamani, na haukulalamika, Ila kwasababu tu limemgusa mmeo.Huu ni UFINYU wa akili, na mazwazwa na mimi mbali mbali.
Kimsingi hawa jamaa sio wa kupewa nchi kabisa, maana kwa akili zao zinazowaza kusifia machafuko namna hii,watatupeleka vibaya.Huyo 🖕 jamaa Kama kweli anaishi ulaya nina wasiwasi nae Sana, kwa akili hizo huenda akawa mburura na mzururaji tu huko.Halafu jamaa anaishi nje ya nchi hata kupiga kura hapigi.
ajali ni ajali mkuu , slaa alianguka , nasari alianguka , mbona hawajawi kuingia matatani hali hali may be sababu zilikua nje ya huwezo wao? na kuna mdau kauliza kwamba kijana akiendesha chopa kama imepangwa na mungu chopa haiwezi anguka? jibu hilo then ndo tuendelee na mjadala mkuu,Huyo Mungu anabariki uwepo wa sheria na kanuni za kufuatwa na binadamu.
Kumbuka kuwa helikopta ikianguka watakaokuwa matatani ni mamlaka iliyoruhusu iruke angani.
Unaongea mengi lakini ni sheria inamtaka rubani wa ndege au helikopta asizidi miaka 65.ajali ni ajali mkuu , slaa alianguka , nasari alianguka , mbona hawajawi kuingia matatani hali hali may be sababu zilikua nje ya huwezo wao? na kuna mdau kauliza kwamba kijana akiendesha chopa kama imepangwa na mungu chopa haiwezi anguka? jibu hilo then ndo tuendelee na mjadala mkuu,
Fichen bas uvivu wenu wakuchambua mambo.Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Kwahiyo kwasababu ya chadema ulitaka hiyo Sheria ibadilishwe haraka ili nyie muweze kitimiza hitaji lenu? Kimsingi inaonekana kampeni zimeanza kuwashinda na mnatafuta Chaka la kujifichiaNi lazima muutafute mpira kwa tochi pamoja na kuwa na sheria kandamizi na kanuni zake. Hivi unafikiri Tanzania ni kisiwa kiasi kwamba hatuwezi kuona uovu wa chama tawala pamoja na hila za kikaragosi chake NEC.
We Jamaa Ni kichwa maji sanaaa humu Jamii Forums we ni Admini wa Vilaza TanzaniaKilaza babaako na mamaako.
Shirika limetibua ratiba ya mikutano ya Tundu Lissu na linapaswa kuilipa fidia chadema kwa uzembe wao.Fichen bas uvivu wenu wakuchambua mambo.
Wamesema ni kinyume na sheria. Kwa mantiki hiyo haijarishi ni mzee sana ama bado ana nguvu.
Ata ww uwechukua mtu wa chini ya miaka 18 et umkatie lesen ili awe dreva wakwo kwakua anajua kuendesha gari
Shirika ndio lilikosea hapo ilitakiwa wamuombe mteja wao samahan
Mbona watu kiduchu, ndio Bagamoyo hiyo? Duh.Ni kweli. Viongozi wa CHADEMA ni wa wahuni. Mgombea wao leo anadiriki kuambia wapiga kura kuwa uchazguzi wa mwaka huu ni kati yake Lissu na Magifuli Ama zake au zangu akisisitiza
Kimsingi Ni kwamba CHADEMA tayari wameshindwa mziki wa kampeni na Sasa wanatafuta tu Chaka la kujifichia.Kama wangekuwa na Nia ya dhati ya kufanya hizo kampeni wangetafuta njia nyingne za usafiri.Kwahiyo kumbe ni kweli Chadema walizuiliwa. Alaf kuna mbuzi asubuh ilijiwah kuandika makala pombe humu eti ooh chadema wamekimbia mikutano yao
wewe wasema but huo ujumbe ni murua sana ,hakuna wa kuishi milele, ipo siku mimi na wewe kila mmoja ataondoka upende au usipende , utaicha kazi, mali zako , na wapendwa wako utake usitake ,na hapo ndo mungu anakuonyesha kua yeye ni fundi , so kama wasema ni inferiority complex , unajiliwaza tu , but siku kama hiyo kama mwanadam hutoikwepa kamwe , tamba uwezavyo ila ipo palepale , na ilisha andikwa toka twzaliwa mkuuPambana na inferiority complex uliyonayo.
Kama umri wake ulikua unaruhusu na akaanguka sababu ya umri haitawekwa lakini Kama alikua ni mzee na akaangusha chombo na Sheria ilikua haimruhusu hiyo itakua ni moja ya hoja ya kuzingatiwa wakati wa uchunguzi wa ajali husika.ajali ni ajali mkuu , slaa alianguka , nasari alianguka , mbona hawajawi kuingia matatani hali hali may be sababu zilikua nje ya huwezo wao? na kuna mdau kauliza kwamba kijana akiendesha chopa kama imepangwa na mungu chopa haiwezi anguka? jibu hilo then ndo tuendelee na mjadala mkuu,
Swala ni sheria na kanuni zilizopo. Ndiyo maana hata kazi nyingine serikalini ukifika umri wa miaka 65 unalazimishwa kustaafu hata kama bado unapenda kuendelea; ile attention span ya mtu hupunguka kulingana na umri.umri bado sio kigezo , mbona mzee makamba na umri wake bado ana uwezo mzuri wa kusimama juu ya jukwaa na kutawala jukwaa kuliko hata vijana , aliesema nesi au dactari akifika miaka 70 hawezi choma sindano ni nani, ujuzi hauzeeki mkuu
Fichen bas uvivu wenu wakuchambua mambo.
Wamesema ni kinyume na sheria. Kwa mantiki hiyo haijarishi ni mzee sana ama bado ana nguvu.
Ata ww uwechukua mtu wa chini ya miaka 18 et umkatie lesen ili awe dreva wakwo kwakua anajua kuendesha gari
Shirika ndio lilikosea hapo ilitakiwa wamuombe mteja wao samahan
Uzembe Ni wa shirika au nbwa CHADEMA na mawala wao wa usafiri🤔? Maana wao ndo wameshindwa kutatua Hilo tatizo la rubani asiekidhi vigezo.Shirika limetibua ratiba ya mikutano ya Tundu Lissu na linapaswa kuilipa fidia chadema kwa uzembe wao.
We Jamaa Ni kichwa maji sanaaa humu Jamii Forums we ni Admini wa Vilaza Tanzania